Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #341
Ahsante mkuu kwa hoja zako. Kwa ujumla Lulu inabidi afanye kazi ya ziada kuishawishi mahakama & umma wa watz wote kuwa yeye hana hatia, na suala la kwamba atadai alitaka kubakwa au alibakwa kwa mimi binafsi naona haina mashiko. Hv baada ya Lulu kutoka kwa Mwendazake usiku huo alienda polisi kutoa taarifa hizo? & kama sivyo je polisi walimkamatia wapi?
baba kutamka sio tatizo wapi ameandika kwenye maandishi hata polisi wakikuamata wanakufinya pumbu unakubali umeiba ama umebaka ukifika mahakamani unawakana kiru na hata kama ulikubali unaonyesha pumvu zako zilivyovimba over..so kutamka sio tatizo wangapi wana nyumba ndogo pamoja na ....wamekaa kimya sembuse huyu katamkaukiangalia kwenye mahojiana ya kipindi cha mkasi, lulu alitamka waziwazi ana miaka 18, iweje leo aseme tena ana miaka 17? Na je, mtu mwenye umri wa miaka 17 anaruhusiwa kuingia club na kuendesha gari? Amekiri kuwa ugomvi wake na kanumba ni baada ya yeye kupigiwa simu na mpenzi wake mwingine tena ni kigogo mkubwa serikalini, je huyo kigogo naye hakujua lulu ni 17? Ndugu yangu lulu ana yakujibu, inasikitisha binti mdogo kujiingiza kwenye masuala ya ngono na dhambi siku zote huzaa mauti. Amevuna alichopanda.
je ndiyo sababu ya kutukana maafisa wote wa jeshi la polisi? Je una proof ya usemi wako kwamba "wale walioshindwa darasani ndiyo tunawasukuma waende polisi ?" isnt that what we call a fallacy? Hasty generalization?
Je umeshafika makao makuu ya polisi of late...are you aware of the ict systems they use over there? Je ni vilaza walitengeneza?
Je, unaproof of cases the dpp has conducted? Ngapi amepoteza? Ngapi ameshinda?ngapi ziliamuliwa unfairly towards either the dpp or the victim?
Ndugu, unless u have answers to any of these questions, i beg...just be quiet..si lazima uongee ili ujulikane mwerevu..silence is also a virtue!
Naomba kuwasilisha bwana learned fellow!
Hivi unaweza kupigwa rungu la kichwa halafu usipate uvimbe wala mchubuko wowote kichwani halafu ubongo peke yake ndio upate mtikikisikoripoti ya daktari inasema ubongo wa kanumba ulitikisika na kusababisha kukosa pumzi na kumsababishia kifo, na sbb za ubongo kutikisija zaweza kuwa kuanguka,kugongwa na kitu kizito kichwani nk. Na madaktari hawajaeleza kuwa kanumba alidondoka au aligongwa na kitu kizito hvy msijifanye mahakimu wa kusema uongo.
kumbe mtu akinywa pombe ubongo unavibrate?
Je ndiyo sababu ya kutukana maafisa wote wa jeshi la polisi? je una proof ya usemi wako kwamba "wale walioshindwa darasani ndiyo tunawasukuma waende polisi ?" isnt that what we call a fallacy? hasty generalization?
je umeshafika makao makuu ya polisi of late...are you aware of the ICT systems they use over there? je ni vilaza walitengeneza?
Je, unaproof of cases the DPP has conducted? ngapi amepoteza? ngapi ameshinda?ngapi ziliamuliwa unfairly towards either the DPP or the victim?
ndugu, unless u have answers to any of these questions, i beg...just be quiet..si lazima uongee ili ujulikane mwerevu..silence is also a virtue!
Naomba kuwasilisha bwana learned fellow!
nashukuru kwa uamuzi uliochukua mana kuuona ufalme wa mbinguni ingekta ngumunilipenda sheria nikiwa chuo...ila nimeachana nayo kwa jambo moja tuu...kumtetea mhaifu kuwa mwema na mtuhumu kuwa mwalifu....nyie endeleeni....mie in other field now....tunawasubiri maadvocate wetu...
Hivi unaweza kupigwa rungu la kichwa halafu usipate uvimbe wala mchubuko wowote kichwani halafu ubongo peke yake ndio upate mtikikisiko
baada ya yaliyotokea huko chumbani lulu alitoka mbio akamwambia mdogo wa kanumba kuwa kanumba kaanguka nayeye akawasha gari yake hadi coco beach ndipo daktari wa Kanumb alipotumia ujanja wa kumwambia Lulu aje wampeleke Kanumba hosp. Na ndipo daktari akapitia polisi na Lulu akakamatwa papo hapo.hawa polisi ndiyo waliosema ya kuwa ukiwaona Ditopile hakuuwa kwa makusudi wakati jamii nzima inajua aliuwa kwa makusudi...............kuhusu Lulu aliripoti kifo yeye mwenyewe........hakujificha kama unavyofikiria kwa sababu alijua mwendazake alikufa kifo cha kawaida hadi pale DPP alipomgeuzia kibao.........
mbona siku zote hukusema umekuja kusema leo, unataka kutengeneza ushahidi gani?kabla ya kifo ndugu zangu kanumba amekuwa akinywa pombe sana kupitiliza na hata binafsi kama kaka yangu ilifika nilimuuliza ndug yake mmoja kaka anaumwa nini ama iweje amekuwa anakunywa hata mchana kama vile amekata tamaa na kuamua kuishi kwa matumaini...nafikiri wangekaa na lulu vizuri atawaambia mengi tuiachie serikali ifanye kazi na dpp wake
baada ya yaliyotokea huko chumbani lulu alitoka mbio akamwambia mdogo wa kanumba kuwa kanumba kaanguka nayeye akawasha gari yake hadi coco beach ndipo daktari wa Kanumb alipotumia ujanja wa kumwambia Lulu aje wampeleke Kanumba hosp. Na ndipo daktari akapitia polisi na Lulu akakamatwa papo hapo.
na kibaya zaidi MAELEZO YA LULU YA AWALI HAJASEMA ALIKUA ANATAKA KUBAKWA BALI WALIKUA WANAGOMBANA KWA AJILI YA SIMU ALIYOPIGIWA LULU, hayo ya kubakwa mmeleta nyie na dhambi zenu.
Rutta,
Asante kwa darasa zuri zaidi....nakwambia kuna afisa mkubwa wa upepelezi wa polisi ka print michango yote hapa hasa ya kwako anasema kuna mambo ni nyeti sana katika upelelezi wa issue....nashangaa watu wengine wanakupinga. Jamani angalieni hata series au movies basi mjifunze matukio ya namna hii yanavyokuwa handled nchi za wenzenu.
Au angalieni suala la Michael Jackson, kwanini hajafungwa msaidizi wake au mlinzi wake aliyekuwa naye chumbani? Dr aliyekuwa anamchanganyia madawa ndo yuko lupango maana madawa ndio immediate cause ya kifo chake.
Naomba kuwauliza mnaompinga Rutta.....Je nyinyi mkiwa mahakimu wa hii kesi mnaweza kushika Biblia/Koran na kumhukumu Lulu pasipo shaka yoyote kunyongwa kwa ajili ya mauaji ya Kanumba?