Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #361
Inashangaza kuona kuwa mtu huyuhuyu alipohojiwa siku chache kabla katika kipindi cha mikasa(kama sijakosea) kinachorushwa East Africa TV(EATV) alisema mwenyewe kwa mdomo wake kuwa ana umri wa miaka kumi na nane(18).Sasa iweje leo akane umri wake?
hatia anayo tu
you are really a viper.......................nani kakwambia lengo ni kumtetea lulu?.................kazi yetu ni kuutafuta ukweli tu mambo ya utetezi ni ya wengineo.....................lakini ni rahisi kuongea ulichoongea bila ya kujibu ya maswali ya kwa nini......bado katika hii thread sijaona mwanasheria wa kumtetea lulu...!
Kweli utetezi umesimama vema!
9. Alishawahi kupatikana na makosa mahakamani na kuhukumiwa kwa mwenendo mbaya na matusi
hiyo point je???
mbwa mzee anafundishwa kuzurura majalalani? Hakuna cha kutaka kubakwa wala nini haka katoto kazinzi na kauaji jela ndo mahala pake
Guys stop speculating, the high court will collect all evidence and come up with unbiased ruling, ninyi sio watabiri kama marehemu shekh, let wait and see what gonna be, this is for Ruta and allied
Simu yangu haina sauti kubwa, hv umesema kanumba alikuwa anatumia ARV?? hebu rudia tena sijasikia vizuri mkuu
poleni wana sheria wetu, kazi mnayo kwa huyu binti yenu.
Kumbe walianzia huku...
View attachment 51658
Simu yangu haina sauti kubwa, hv umesema kanumba alikuwa anatumia ARV?? hebu rudia tena sijasikia vizuri mkuu
Tumtendee haki hapa kwenye picha,hii piacha sio halisi,may be photo shop at work!
Ni picha halisi ni kipande cha movie ya marehemu imetoka muda kidogo inaitwa family tears