Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

Wewe unaamini amejibu ujinga?
Ni ujinga kusema nilitumwa... Kwenye mahakama zinaitwa "hearsay" aka porojo.

Documents za yeye kupewa hiyo kazi ziko wapi?
Swali la muhimu, atawaita Luoga na Mpango waje kudhibitisha?

Kwa ufupi he's deep trouble, huu utetezi hauna mashiko.
 
Hapo ndipo unapokosea....

Ukweli ni kwamba Magufuli angekuwa hai asingemtetea kwa kuwa hii kesi isingekuwepo na huyu jambazi angeendelea na ujambazi huku akiwa analindwa
 
Hachelewi kusema Mama Mghwira boss wake alikua anajua kutoka nje ya jurisdiction. Maana naona sasa mzigo anawatupia marehemu tu ambao hawana kauli na hawasemi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Sheria ni msumeno bwashee!
Sio kweli mkuu. Kama sheria ni msumeno mbona haikati hao akina sabaya?. Hebu ona hata kesi yake ilivyokimbikizwa?. Unajue kuna watu wako mahabusu wana kesi kama za sabaya lakini wana miaka kesi zao hata hazisikilizwi. Lakini huyu kenge inakimbizwa hatari.

Kama kweli kuna hukumu baadae huko mbinguni,basi polisi,mahakimu hakimu hawa,ma-DPP,watakuwa wanaunguzwa mpaka matako
 
Magufuli angekuwa hai 7baya kwanza huo mdomo wa kumtaja Rais katika utetezi wake angetoa wapi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ni ujinga kusema nilitumwa... Kwenye mahakama zinaitwa "hearsay" aka porojo.

Documents za yeye kupewa hiyo kazi ziko wapi?
Swali la muhimu, atawaita Luoga na Mpango waje kudhibitisha?

Kwa ufupi he's deep trouble, huu utetezi hauna mashiko.
Kwahiyo wewe unajua zaidi kuliko DC na RC wa Arusha waliomruhusu kufanya kazi mkoani kwao?
 
Acha porojo za kijinga kama nchi gani ikiwa PM wa Israel nk huwa wanashutumiwa kwa rushwa na kesi ziko mahakamani wanaenda kujitetea na hakuna kujiuzulu unaongea ujinga.

Trump alikuwa anashutumiwa kwa lipi na alijiuzulu? Ingekuwa simple hivyo kusingekuwa kunakuwa na Serikali maana katikati vita za siasa au maisha ya kawaida shutuma haziwezi kuisha .
 
Yaani kwa maneno mengine "aliyekuwa mwenyekiti wa CCM" aliwatuma jamaa wakapore
 
Akili kichwani.Niliwahi elekezwa cha kufanya na DED kinyume na miongozo mambo yalipobumba akawa ananishutumu kwa nini kusimamia jambo ambalo liko kinyume na ilivyotakiwa?

Aliongea hayo huku anajua kwamba yeye ndio alitaka hivyo na Kwa maana hiyo anakubebesha lawama huku yeye akiwa na loop hole ya kusema sio mtaalam na alishauriwa vibaya na mtaalamu Aliyekuwa na jukumu.Kwa hiyo hakuna utetezi hapo bila maandishi.
 
Duh!! Mungu anamuona lakini!

Amejitetea kiume sana

Makamu wa Rais Dr Mpango na DC mstaafu Dr Kihongosi watakuwa mashahidi wake muhimu kama katiba inaruhusu.

Rais mstaafu Mkapa aliwahi kupanda kizimbani kumtetea Prof Mahalu pale Kisutu!
Daaah jambazi sugu anapambana kujiokoa
 
Kwa hiyo mama mgwira ndiye alikuwa na jurisdiction Arusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…