MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Ni ujinga kusema nilitumwa... Kwenye mahakama zinaitwa "hearsay" aka porojo.Wewe unaamini amejibu ujinga?
Documents za yeye kupewa hiyo kazi ziko wapi?
Swali la muhimu, atawaita Luoga na Mpango waje kudhibitisha?
Kwa ufupi he's deep trouble, huu utetezi hauna mashiko.