Utetezi wa uumbaji kimahesabu na kifizikia: Mathematician's and theoretical physicist appeal to creation

Mr uhakilka bro naona tuko Kwenye mstari mmoja wa utambuzi wa kiroho, scar na kiranga tusiwaache nafkiri ipo nguvu inawasukuma kuutambua ukweli, awapo kupinga kibahati mbaya tu , kupinga kwao kuna sababu nzuri tu na zenye mantic sahihi kabsa kulingana na upofu tuliotiwa na dini.
Yas tupo pamoja kaka.

Mi nimefurahi zaidi kwa tulichokijadili kwenye front page ya uzi #1 - #20 😊 na uzi wenyewe.

Maana hapo pamejaa maelezo ambayo mtu akifungua akili yake anaelewa vizuri kabisa. Ebhana asante sana kwa mchango.
 
Yas tupo pamoja kaka.

Mi nimefurahi zaidi kwa tulichokijadili kwenye front page ya uzi #1 - #20 [emoji4] na uzi wenyewe.

Maana hapo pamejaa maelezo ambayo mtu akifungua akili yake anaelewa vizuri kabisa. Ebhana asante sana kwa mchango.
Unafanya spiritual meditation mkuu?
 
Unafanya spiritual meditation mkuu?
Hapana sina mfumo rasmi kabisa wa kukaa na kumeditate hapana.

Sema tu kuna ile naweza nikakaa siku [hata wiki] kadhaa najaribu kuelewa kitu fulani na kujaribu kukiunganisha [kumake sense] na ukweli/uhalisia woote ninaoufahamu hadi muda huo.
 
Unaweza ukaijarbu mkuu huwa ina matokeo chanya sana spiritual.
 
Akili yako inataman aongee vitu unavyojua ili uone akili yake ipo sawa?
Wewe huoni Kuwa huwezi kuwaza bila ubongo?? Sasa kama wazo linatokea kwenye ubongo Na ili neurones zifanye Kazi zinahitaji energy, huoni bila energy Hakuna mawazo??

Kama unasema wazo linaweza kuwepo bila ubongo basi utakuwa chizi...inamaana hata jiwe,mlima,Nyumba,viazi..vinaweza kuwaza
 
Afrocentric view na draga ambao naona mnapendelea kuwepo kwa energy ili kitu kiwepo niwaulize:

Mfano mimi nikawaza 'nina wazo la kujenga nyumba nzuri, na kuoa mke mzuri'.

Je baada ya hapo au hata wakati huo ninatumia energy gani. Ingekuwa kweli wazo linategemea energy basi ingekuwa nikiwaza kanyumba kadogo tuone glukosi/energy kwenye damu imepungua kidogo, Halafu nikiwaza jumba kuubwa lighorofa, tuone nimepungukiwa sukari/energy zaidi zaidi. Hii ni ule wakati nawaza.

Okay naweza kukubali kutumia energy kuwaza, kimbembe baada ya kuwaza itatakiwa ile energy iwe imehifadhiwa kama potential energy. Ikitokea siku nimelivunja hilo wazo, au nimesahau ile energy irudi sasa!!!

Kwani Afro we ulipokaa ukawaza, 'jamaa aende milembe' ulitumia energy zaidi ya ambavyo usingewaza, labda tu ungewaza nikale mihogo instead 😂😂😂.

Mbona inaonekana wazo liko nje ya energy mazee na linafanya mambo yake yote bila kutumia energy, ila jenyewe ndio linaweza kuamrisha energy izalishwe, igawanywe, au itumike kinamna fulani kama litataka vitu vijimanifest materially. 'Let there be light'

Hitimisho labda mimi nitasema energy tunaitumia pale tu tunataka wazo liwe conscious physically/materially. Ila tofauti na hapo wazo lina namna yake ya kuwepo tu [just being it] isiyotumia hii nishati ya u-hasi wala u-chanya tunayoifahamu. Labda ile nishati nyingine tusiyoielewa sasa ya u-zero u hamna.
 
Mh. Bro Afro usikimbilie kujipa upekee kisa tu unajijua wewe kama wewe. By the way hata sisi hatujijui vizuri bado.

Kwa kuwa bado hatujautafsiri kisayansi utambuzi[consciousness] naomba tuliache suala la wazo linahitaji ubongo. Kwenye mifano yako [mimi mbaiolojia]nitakuwa na amani kwa sasa kuliacha jiwe, mlima na nyumba ila viazi hapana!! Unajuaje kama viazi haviwazi kupata lishe na kuota, kuzaliana?

Nikuitie yule mwamba aliyesema jiwe ni kiumbe hai umsikie, au tukuache na swali la kujiuliza la kwamba vipi kama dunia ni kiumbe hai?......... na vipi kama dunia ni kama seli mojawapo ya kiumbe mmoja ulimwengu/universe. Huoni mawe yanakuwa kama ndo mifupa!?? Ongea na wajiolojia wa zamaaaani utastaajabu

Au poa tuseme kwamba viumbe hai ni wazo hai[vinatokeza mawazo mengine], mwanadamu ni wazo hai linalojielewa [anatokeza mawazo mengine, na anayatambua ndio maana anaweza kuyaendesha na kuyacombine kutokeza mapya/creativity] na vitu ni wazo fixed sio hai [viliwazwa na wanaojitambua vikawa wazo crystallized]
 
All in all yote Tisa , Kumi Ni Kuwa huwezi Kuwa Na wazo bila Kuwa Na muwazaji ....Hata muwazaji awe ubongo,kiazi,universe,nyota Nk. Ambapo hivo vitu vyote Ni physical ...Na vinahitaji energy kuexist
 
Naona safari yangu yoote umeirudisha square one.......... Muwazaji

Nakubali hakuna wazo bila ya kuwa na muwazaji, sasaaaa;

Mfano nikasema huyo muwazaji ni sehemu ya wazo, zaidi ya wazo [nje ya wazo] na pia kwa kuwa ndio wazo jenyewe ina maana yu ndani ya wazo inakaa?
 
Believe or not.....GOD of religious never existed......
1640614221927.jpg
 
Afrocentric view na draga ambao naona mnapendelea kuwepo kwa energy ili kitu kiwepo niwaulize:

Mfano mimi nikawaza 'nina wazo la kujenga nyumba nzuri, na kuoa mke mzuri'.

Je baada ya hapo au hata wakati huo ninatumia energy gani. Ingekuwa kweli wazo linategemea energy basi ingekuwa nikiwaza kanyumba kadogo tuone glukosi/energy kwenye damu imepungua kidogo, Halafu nikiwaza jumba kuubwa lighorofa, tuone nimepungukiwa sukari/energy zaidi zaidi. Hii ni ule wakati nawaza.

Okay naweza kukubali kutumia energy kuwaza, kimbembe baada ya kuwaza itatakiwa ile energy iwe imehifadhiwa kama potential energy. Ikitokea siku nimelivunja hilo wazo, au nimesahau ile energy irudi sasa!!!

Kwani Afro we ulipokaa ukawaza, 'jamaa aende milembe' ulitumia energy zaidi ya ambavyo usingewaza, labda tu ungewaza nikale mihogo instead 😂😂😂.

Mbona inaonekana wazo liko nje ya energy mazee na linafanya mambo yake yote bila kutumia energy, ila jenyewe ndio linaweza kuamrisha energy izalishwe, igawanywe, au itumike kinamna fulani kama litataka vitu vijimanifest materially. 'Let there be light'

Hitimisho labda mimi nitasema energy tunaitumia pale tu tunataka wazo liwe conscious physically/materially. Ila tofauti na hapo wazo lina namna yake ya kuwepo tu [just being it] isiyotumia hii nishati ya u-hasi wala u-chanya tunayoifahamu. Labda ile nishati nyingine tusiyoielewa sasa ya u-zero u hamna.
Wazo Halina energy yoyote....lakini ili uwaze inabidi utumie energy.
Ni Sawa Na distance yoyote haina energy(huwezi kusema Mita moja Ina joules kadhaa), lakini ili usafiri Kwa distance yoyote itabidi utumie energy.

Kwahyo wazo la 'ngoja Nile mihogo' lenyewe kama lenyewe Halina energy...lakini ili niliwaze inabidi nitumie energy ambayo inatokana Na neurones ku'fire Na energy inakuwa transformed from chemical energy(ions like sodium and potassium in axons of neurones and chemo-receptors like cannabinoids in the brain) to electric energy (synapses,action potential) Na pia mitochondria Za neurones hutengeneza energg ambayo inakuwa transformed into heat ambayo baadae tunaipoteza kupitia kusweat Na radiation ya mwili.

Kwahyo jibu Ni ndiyo, mawazo yanatofautiana utumiaji wa energy.

Iko Hivi Kila unapowaza Kuna neurones ziko associated Na Hilo wazo...kwahyo Kadri wazo linavyokuwa kubwa ndivyo neurones nyingi Zaidi huhusika kuliwaza.
Ndiyomaana Ni ngumu mtu kubadili Dini kwasababu Kila siku tokea ajitambue anaweza kuhusu Mungu,mbingu Na dhambi...Kwahyo neurones zilizokuwa associated Na hayo mawazo Zina bond kubwa...Hivyo kutengeneza mawazo kinzani (let's say introduce uislam Kwa mkristo) hayo mawazo yanakuwa Na neurones chache zilizo bond hivyo yanakuwa hayana nguvu.
Ndiyomaana Ni ngumu watu kubadili tabia,Dini,vyama,uraia Nk. Nk.

Inshort hii inapimika maabara kupitia fMRI (functional magnetic resonance imaging) wanaweza kupima activity Za neurones Kwa Kila state ya ubongo...
Na hii walishajaribu mpaka kutrace sehemu ya ubongo inayohusika Na mawazo,hisia Na kumbukumbuku..hisia Ni amygdala, hippocampus, thalamus Na hypothalamus...kumbukumbu ni cerebellum, prefontal cortex, amygdala Na hippocampus Na mawazo Ni cerebrum.

Inshort mawazo makubwa au kumbukumbuku zile vivid Zaidi zenye details nyingi zinahitaji neurones nyingi Zaidi Na hivo huhitaji energy nyingi Zaidi.

Binadamu ana neurones nyingi (ukicompare size ya mwili wake) Kuliko viumbe wote..Ndiyomaana ana mawazo mengi Zaidi.

Tuna billions of neurones zenye uwezo wa kutengeneza trillions of connections...
 
Mfano nikasema huyo muwazaji ni sehemu ya wazo, zaidi ya wazo [nje ya wazo] na pia kwa kuwa ndio wazo jenyewe ina maana yu ndani ya wazo inakaa?
Haikai, muwazaji sio sehem ya wazo ila wazo Ni sehemu ya muwazaji/wawazaji.
Muwazaji anaweza kuishi bila wazo ila wazo haliwezi kuwepo bila muwazaji.

Binadamu anaweza kuishi bila Dini, ila Dini haiwezi kuwepo bila binadamu kuwepo.
 
Ooookay nakumbuka nilikubaliana nanyi kwamba ili sisi tuwaze wazo fulani tunatumia energy.

Kuwa makini hapo, hiyo energy haijatumika kuunda wazo bali imetumika kuliwaza hilo wazo.

Kifizikia kama energy ingetumika kuliunda basi baadaye wazo lingecontain some potential energy. Najua hii fact tumekubaliana tayari kuwa wazo halina energy nisipoteze muda hapa, tayari tupo pamoja.

Basi nitasemaa; huo mchakato wooote uliouainisha wa kikemikali, kiumeme na kinishati ni kwa ajili ya kufanya kazi ya kuliwaza wazo ambalo jenyewe lipo tu.

Usipotumia hizo nguvu ni hasara kwako ila jenyewe lipo tu. So nguvu unaitumia katika kujimilikisha wazo ubongoni mwako. Lisingekaa ubongoni mwako jenyewe lingekuwepo tu ila wewe ndio usingelitambua, halinaga hasara.

Kwa hiyo wazo lipo wala halihitaji nishati/energy ili liwepo, ila ili liwe expressed itahitaji muwazaji atumie nishati kuliwaza na kuliexpress JE?🤭
 
Utata bado upo, labda ukitusaidia tafsiri ya yako ya mtu ni nini/nani itasaidia.

Mbona mi naona kama muwazaji naye ni sehemu wazo, kiasi kwamba hawezi akawepo bila wazo. Sijui lakini kwako wewe, kwani wewe umejichukulia kuwa ni nani/nini? Mimi nimejichukulia kuwa ni ile consciousness yangu, wazo-hai la mimi.

Sasa kama ni wazo fikiria, hivi unadhani unaweza ukawaza wazo lolote likawa jipya kabisa bila kutegemea wazo jingine? Mfano ukiangalia hata kanuni mbalimbali zinakataaga [Godels incompleteness theorems]
 
Let's say Mimi sasaivi ninawaza "fsvhgcstexxz***hdգռյեըճծf@=}∆÷|¥°==€®™""__&&-(9/7-5_"
Hilo wazo limeanza kuwepo lini?
Mimi nasema limeanza kuwepo baada ya Mimi kuliwaza..na nisingeliwaza, probability Ni kubwa Kuwa hata when given infinite time haKuna mtu angezipanga Hizo herufi Kwa mpangilio Huo.
Meaning Hilo wazo nimeliumba Mimi Na Kabla yangu halikuwepo.
Mawazo yanakufa. Pia
Sio Kila wazo lililowahi kuwazwa Na binadamu wote lipo Leo
Machache yanabaki katika uhai,,mengi hupotea.
Nyerere probably aliwaza mawazo trillion ^ trillions of them. ila tunayomkumba hayafiki milioni.

Kwahyo mawazo Ni kama sparks Tu, Kuna mengine yana lifespan ya sekunde( mf. Saivi Nawaza kuandika hii herufi k kwa wingi kkkk) Na mengine yanadumu Millenia nyingi kama wazo la 'Yesu Ni mungu..'

In summary, mawazo yamekuja kwenye ulimwengu thanks to neurones and intelligence..
ila ulimwengu ulikuwepo Kabla ya neurones,utaendelea kuwepo Hata Maisha yote yakiextint.

😂😂😂😂😂😂😂 asee mfano wako ni noooma sana
 
Consciousness sio wazo-hai.
Consciousness Ni ufahamu.
Ufahamu unahusisha Kila kitu, ikiwemo mawazo,kumbukumbu,hisia,cognition, senses etc.

Vyote hivyo Ni physical processes ndani ya ubongo.
Kwahyo wewe Ni ubongo wako.

Wewe Ni Nani?? Essentially??
Wewe sio ufahamu wako...ingawaje ufahamu Ni sehemu kubwa(Karibia yote) kuhusu wewe 'unayoijua'

In summary, Wewe ni muunganiko wa neurones kwenye ubongo wako.

Ni Sawa Na computer ..Je computer Ni Ile hardware au software??

Sawa, Kwa haraka haraka jibu Ni software kwasababu ndiyo inagovern purpose nzima ya computer ...Lakini haimaanishi computer Ni software...Computer Ni hardware, Ni zile atoms zilizoijenga...
Hii software tumeipa Sisi maana Kwa lugha tunayoielewa...

Lakini as far as the universe is concerned a computer is just an object with mass ....

Ulimwengu hajawahi kujali mawazo yetu Na hautakuja kuyajali..

SEMA human ego inatufanya tujione Sisi Ni wa muhimu hapa ulimwenguni (mpaka stage ya kufikiria Sisi Ni special Kuliko viumbe vyote,vitu vyote na sayari zote mpaka Mungu Aache matrillioni ya galaxies Na matrillioni ya sayari, aje duniani Aache mamilioni ya species zilizopo, afe Kwa ajili ya specie Moja Tu ya homo sapiens ili aisamehe dhambi)
Lakini kwenye uso wa ulimwengu ..we are nothing but moving atoms
 
Leo nilikuwa natafuta swali la jumla ya idadi ya nishati ulimwenguni, imepelekea kunistua na kuyumbisha concept ya draga ya God is the ENERGY na kuipaisha concept ya a4afrika ya God is the LOGIC. Na kuibakisha imara kabisa concept ya Uhakika Bro ya kwamba God is the IDEA!!

Someni hii scientific fact from livescience:
''.....it seems that the total energy in the universe must be an inconceivably vast quantity. But it's not; it's probably zero.

Light, matter and antimatter are what physicists call "positive energy." And yes, there's a lot of it (though no one is sure quite how much). Most physicists think, however, that there is an equal amount of "negative energy" stored in the gravitational attraction that exists between all the positive-energy particles. The positive exactly balances the negative, so, ultimately, there is no energy in the universe at all....
''

Sasa bwana Draga ukibakia na concept yako ya God is energy huoni ambavyo unaruhusu mtu kama Scars na Kiranga kifizikia kuifuta hiyo concept yako na kusema hakuna energy, so hakuna Mungu?

Halafu mimi naendelea; God is the IDEA, the idea that is conscious and intelligent too, that conceived and used[wait, I am somehow wrong bout that, because when an idea is concious and intelligent it is therefore automatically logical too!] LOGIC to devide zero into positive one and negative one ENERGIES so we got something out of nothing, the total of which remains zero. Still logically consistent!! Pure genious, in fact more than genious[emoji109]

Uumbaji: Yaani kwamba Mungu ni WAZO, wazo ambalo linajitambua na lina akili pia, lililotunga na kutumia MANTIKI [No, nimekosea kuhusu kutunga!! maana ukishasema tu ni wazo lenye kujitambua na kuwa na akili inamaanisha kiotomati mantiki ipo pale!] kuigawanya sifuri kuwa NISHATI za hasi moja na chanya moja hivyo tukapata kitu kutoka katika hamna-kitu, jumla yake ikibakia ziro. Bado imebakia na ukamilifu wake wa kimantiki!! Hii ndiyo hekima iliyo kuu kabisa. God is Great, the greatest.

Mathematically;

0 / 2 = +1 + -1 + 0 which is also equal to zero [0]

Proof: +1 + -1 + 0 = 0

Mwisho wa dunia: Wanaosema mwisho wa dunia ni pale dunia [ulimwengu*] itakapokunjwa kama karatasi ni kwamba pale Mungu ataruhusu/atavikusanya na kuviweka pamoja vi hasi na chanya basi vitu vitaacha kuwepo. Vitapotea vuup! Ndiyo unakuwa mwisho. Lakini usisahau kwamba wazo lolote li nje ya huo uvitu, uhasi na uchanya though!

Uzima wa milele: Lakini kwa kuwa wazo ni tofauti na vitu na linao uwezo wa kuwepo pasi na vitu[hasi/chanya] bali tu kuwe na WAZO linalowaza hilo wazo. Basi mawazo mazuri yanayojielewa yatasavaivu hizo material na energy death[emoji4]. Yataendelea kuishi pamoja na Mungu wao ambaye ndio WAZO kuu. Hayatakuwa Mungu bali yataendelea kuwa sehemu ya Mungu. Labda yataenda katika hatua nyingine[tunaita mbinguni uweponi mwa Mungu] [another dimension] maana unajuaje labda sifuri haikugawanywa mara mbili? labda iligawanywa mara tatu tukapata matokeo saba[0, +3, +2, +1,-1,-2,-3]! au iligawanywa mara saba, au mara arobaini elfu na zaidi !!!? ad infinitum!

Tukirudi kwenye baibo kujaribu kusynchronize hizi concept zetu zote angalia inavyokaa kiutamu hapa.

Tunasema Yesu ni NENO[LOGIC] ni mwana wa MUNGU [IDEA] pasipo yeye hakikufanyika kitu, kila kitu cha chini huku ulimwenguni kwetu kilifanyika kupitia yeye NENO/LOGIC.

Utatu mtakatifu: Kama ambavyo mantiki[logic] na wazo sahihi/zuri[good idea] vinavyoleta taabu kuvitofautisha hadi mtu anaweza kusema tu ni kitu kimoja, Ndivyo ambavyo BABA na MWANA wanavyokuwa ni MMOJA na ROHO MTAKATIFU pia!. Suala la nafsi kuwa tatu litaeleweka pale ukitambua kwamba kiuhai/kibaiolojia/kiuwepo moja jumlisha moja mara nyingi ni tatu! Hii part ni kwa ajili ya Kisai na nani yule mwenye avatar ya Yesu kashika bastola?

BioMathematically;
A + B = A + B + AB [Three items] yaani baba jumlisha mama sawasawa na baba, mama na mtoto [3] na wote ni mwili mmoja yaani familia.

Na ni kweli yeye[LOGIC] ndio NJIA, KWELI na UZIMA. Kutokeza hizo hasi na chanya ni kazi za kimantiki UWEPO na KUTOKUWEPO. Energy na negative energy. Na vyote BABA yao ni mmoja ni lile WAZO HAI. The I AM THAT I AM [emoji109][emoji123].

Ndugu zangu wa dini nyingine sijawaacha mbali ni kwamba haikatai hata tukisema kwamba Yesu kama mtu au Nabii/Mtume wa Mwenyezi Mungu alikuja duniani kuwasilisha/kulingania na kuwakilisha NENO/LOGIC ya Mwenyezi Mungu. Aliishi vizuri na kikamilifu hadi waliokuwa karibu naye wakakiri kuwa kwa kweli tumeona ambavyo huyu mwamba ni NENO/LOGIC iliyochukua mwili na ikakaa kwetu. Huyu ni Mwana wa Mungu [wakimaanisha huyo NENO alochukua mwili wa Yesu] ambaye vyote viliumbwa naye.

Vile Mungu anaweza kusema kuwa na ikawa basi lile neno 'kuwa na iwe' ndiyo lipo kimantiki inayozungumzwa hapa sheikh wangu. Wooote tunamtii Mungu ambaye ni mmoja tu na hakuna mwingine. The IDEA is the father of all including LOGIC and ENERGY and EVERYTHING that is seen or not seen. God is Great.

UPDATE: Suala la ENERGY tusilitoe umuhimu wala kulishusha thamani hata kidogo hasa tukiwa katika hii material universe. Maana kwa kuwa hakuna matter bila energy [E = mC2]. To a materialist energy is everything, but it is chaotic. Because he recognizes nothing beyond this. Energy guided logically following a good idea is all that thereis to a believer, it is purposefully orderly. Au energy ndio Roho Mtakatifu katika utatu nini? Wajuzi mnisaidie, binafsi naona inakujakuja. Nipeni go ahead hapa nisummarize kuwa IDEA, LOGIC and ENERGY are..... no, not are IDEA, LOGIC and ENERGY IS ONE.!!!?

Mini UPDATE: Kama ambavyo sisi ni vyoote vinavyoundaa miili yetu[MIKONO, MIGUU, UBONGO, MACHO] na zaidi yake nje na ndani ya mwili[can you locate your consciousness?] basi pia hata huo mkusanyiko itakuwa Mungu ni vyoote hivyo[IDEA,LOGIC,ENERGY] na zaidi yake ndani na nje ya creation[GOD]! Sisi finite creatures tuna ukomo. Our highest concept of God will remain smaller than his true Greatness. God is the greatest[emoji120].

UPDATE II: Baada ya majadiliano na Draga, amefanikiwa kurudisha umsingi wa energy kupower hayo mambo yote. Basi tumeweza kutengeneza hali ya 'kuku na yai kipi kilianza?[emoji214]'. Na mi umsingi wa wazo lenye mantiki ili energy imake sense, ijiexpress au iwepo kweli. Tungeendelea kujisumbua kung'angana kuwa ilianza WAZO, au ilianza ENERGY, au ilianza LOGIC tusingemaliza. Basi tumeishia ni vyote vipo ni 'MOJA' na haikuanza wala haitakwisha. Basi hiyo sifuri ziro ilogawanywa mwanzo wetu ni ENERGY pia ilokuja kujigawanya kupata nishati hasi-1 na nishati chanya+1 [hapa ulimwenguni] na NISHATI 0[of which we can not comprehend] pia ambalo hilo tayari ni WAZO lenye MANTIKI. Tunagundua shida yetu ipo kwenye kuanza kuwaza mwanzo ulikuwaje kwa vitu ambavyo kiuhalisia havina mwanzo wala mwisho ndio maana inakuja ku-make sense both directions [which is the definition of not making sense[emoji2960]]. AKILI mtu wangu akili tu.

NB: Natambua Mungu hafananishwi na hata hizi concept tunazitunga ili kujaribu kumuelewa kwa kiwango chetu hapa duniani. Tunamuomba Mungu atujalie kumjua kwa uzuri zaidi kadri tunavyokua. Maana Yeye ajua zaidi.
Big brain
 
Back
Top Bottom