Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
- Thread starter
- #41
Sasa nimeshamaliza kucheka akili ishatulia labda naweza kujibuLet's say Mimi sasaivi ninawaza "fsvhgcstexxz***hdգռյեըճծf@=}∆÷|¥°==€®™""__&&-(9/7-5_"
Hilo wazo limeanza kuwepo lini?
Mimi nasema limeanza kuwepo baada ya Mimi kuliwaza..na nisingeliwaza, probability Ni kubwa Kuwa hata when given infinite time haKuna mtu angezipanga Hizo herufi Kwa mpangilio Huo.
Meaning Hilo wazo nimeliumba Mimi Na Kabla yangu halikuwepo.
Mawazo yanakufa. Pia
Sio Kila wazo lililowahi kuwazwa Na binadamu wote lipo Leo
Machache yanabaki katika uhai,,mengi hupotea.
Nyerere probably aliwaza mawazo trillion ^ trillions of them. ila tunayomkumba hayafiki milioni.
Kwahyo mawazo Ni kama sparks Tu, Kuna mengine yana lifespan ya sekunde( mf. Saivi Nawaza kuandika hii herufi k kwa wingi kkkk) Na mengine yanadumu Millenia nyingi kama wazo la 'Yesu Ni mungu..'
In summary, mawazo yamekuja kwenye ulimwengu thanks to neurones and intelligence..
ila ulimwengu ulikuwepo Kabla ya neurones,utaendelea kuwepo Hata Maisha yote yakiextint.
Ni kwamba hilo uliloliita wazo ukalitype maherufi yasiyokuwa na maana ndio wazo lenyewe sio hayo maherufi
Sijui umenipata? Wazo ni kutype maherufi mi ntasema lilikuwepo na imefika muda huu umeliwaza.
Usichukulie kuwa nimepinga uwezo wa wewe kuumba. La. Unaweza kuumba lakini lazim utacheza na kuunganisha mawazo mbalimbali yaliyopo ili kutokeza wazo jipya.
Anayeweza kuumba jambo jipya anabaki kuwa Mungu pekee halafu sisi tunabaki kuishi, kujongea na kuwepo katika hayo mawazo yake.