Utetezi wa uumbaji kimahesabu na kifizikia: Mathematician's and theoretical physicist appeal to creation

Yas tupo pamoja kaka.

Mi nimefurahi zaidi kwa tulichokijadili kwenye front page ya uzi #1 - #20 😊 na uzi wenyewe.

Maana hapo pamejaa maelezo ambayo mtu akifungua akili yake anaelewa vizuri kabisa. Ebhana asante sana kwa mchango.
 
Yas tupo pamoja kaka.

Mi nimefurahi zaidi kwa tulichokijadili kwenye front page ya uzi #1 - #20 [emoji4] na uzi wenyewe.

Maana hapo pamejaa maelezo ambayo mtu akifungua akili yake anaelewa vizuri kabisa. Ebhana asante sana kwa mchango.
Unafanya spiritual meditation mkuu?
 
Unafanya spiritual meditation mkuu?
Hapana sina mfumo rasmi kabisa wa kukaa na kumeditate hapana.

Sema tu kuna ile naweza nikakaa siku [hata wiki] kadhaa najaribu kuelewa kitu fulani na kujaribu kukiunganisha [kumake sense] na ukweli/uhalisia woote ninaoufahamu hadi muda huo.
 
Hapana sina mfumo rasmi kabisa wa kukaa na kumeditate hapana.

Sema tu kuna ile naweza nikakaa siku [hata wiki] kadhaa najaribu kuelewa kitu fulani na kujaribu kukiunganisha [kumake sense] na ukweli/uhalisia woote ninaoufahamu hadi muda huo.
Unaweza ukaijarbu mkuu huwa ina matokeo chanya sana spiritual.
 
Akili yako inataman aongee vitu unavyojua ili uone akili yake ipo sawa?
Wewe huoni Kuwa huwezi kuwaza bila ubongo?? Sasa kama wazo linatokea kwenye ubongo Na ili neurones zifanye Kazi zinahitaji energy, huoni bila energy Hakuna mawazo??

Kama unasema wazo linaweza kuwepo bila ubongo basi utakuwa chizi...inamaana hata jiwe,mlima,Nyumba,viazi..vinaweza kuwaza
 
Afrocentric view na draga ambao naona mnapendelea kuwepo kwa energy ili kitu kiwepo niwaulize:

Mfano mimi nikawaza 'nina wazo la kujenga nyumba nzuri, na kuoa mke mzuri'.

Je baada ya hapo au hata wakati huo ninatumia energy gani. Ingekuwa kweli wazo linategemea energy basi ingekuwa nikiwaza kanyumba kadogo tuone glukosi/energy kwenye damu imepungua kidogo, Halafu nikiwaza jumba kuubwa lighorofa, tuone nimepungukiwa sukari/energy zaidi zaidi. Hii ni ule wakati nawaza.

Okay naweza kukubali kutumia energy kuwaza, kimbembe baada ya kuwaza itatakiwa ile energy iwe imehifadhiwa kama potential energy. Ikitokea siku nimelivunja hilo wazo, au nimesahau ile energy irudi sasa!!!

Kwani Afro we ulipokaa ukawaza, 'jamaa aende milembe' ulitumia energy zaidi ya ambavyo usingewaza, labda tu ungewaza nikale mihogo instead 😂😂😂.

Mbona inaonekana wazo liko nje ya energy mazee na linafanya mambo yake yote bila kutumia energy, ila jenyewe ndio linaweza kuamrisha energy izalishwe, igawanywe, au itumike kinamna fulani kama litataka vitu vijimanifest materially. 'Let there be light'

Hitimisho labda mimi nitasema energy tunaitumia pale tu tunataka wazo liwe conscious physically/materially. Ila tofauti na hapo wazo lina namna yake ya kuwepo tu [just being it] isiyotumia hii nishati ya u-hasi wala u-chanya tunayoifahamu. Labda ile nishati nyingine tusiyoielewa sasa ya u-zero u hamna.
 
Mh. Bro Afro usikimbilie kujipa upekee kisa tu unajijua wewe kama wewe. By the way hata sisi hatujijui vizuri bado.

Kwa kuwa bado hatujautafsiri kisayansi utambuzi[consciousness] naomba tuliache suala la wazo linahitaji ubongo. Kwenye mifano yako [mimi mbaiolojia]nitakuwa na amani kwa sasa kuliacha jiwe, mlima na nyumba ila viazi hapana!! Unajuaje kama viazi haviwazi kupata lishe na kuota, kuzaliana?

Nikuitie yule mwamba aliyesema jiwe ni kiumbe hai umsikie, au tukuache na swali la kujiuliza la kwamba vipi kama dunia ni kiumbe hai?......... na vipi kama dunia ni kama seli mojawapo ya kiumbe mmoja ulimwengu/universe. Huoni mawe yanakuwa kama ndo mifupa!?? Ongea na wajiolojia wa zamaaaani utastaajabu

Au poa tuseme kwamba viumbe hai ni wazo hai[vinatokeza mawazo mengine], mwanadamu ni wazo hai linalojielewa [anatokeza mawazo mengine, na anayatambua ndio maana anaweza kuyaendesha na kuyacombine kutokeza mapya/creativity] na vitu ni wazo fixed sio hai [viliwazwa na wanaojitambua vikawa wazo crystallized]
 
All in all yote Tisa , Kumi Ni Kuwa huwezi Kuwa Na wazo bila Kuwa Na muwazaji ....Hata muwazaji awe ubongo,kiazi,universe,nyota Nk. Ambapo hivo vitu vyote Ni physical ...Na vinahitaji energy kuexist
 
All in all yote Tisa , Kumi Ni Kuwa huwezi Kuwa Na wazo bila Kuwa Na muwazaji ....Hata muwazaji awe ubongo,kiazi,universe,nyota Nk. Ambapo hivo vitu vyote Ni physical ...Na vinahitaji energy kuexist
Naona safari yangu yoote umeirudisha square one.......... Muwazaji

Nakubali hakuna wazo bila ya kuwa na muwazaji, sasaaaa;

Mfano nikasema huyo muwazaji ni sehemu ya wazo, zaidi ya wazo [nje ya wazo] na pia kwa kuwa ndio wazo jenyewe ina maana yu ndani ya wazo inakaa?
 
Wazo Halina energy yoyote....lakini ili uwaze inabidi utumie energy.
Ni Sawa Na distance yoyote haina energy(huwezi kusema Mita moja Ina joules kadhaa), lakini ili usafiri Kwa distance yoyote itabidi utumie energy.

Kwahyo wazo la 'ngoja Nile mihogo' lenyewe kama lenyewe Halina energy...lakini ili niliwaze inabidi nitumie energy ambayo inatokana Na neurones ku'fire Na energy inakuwa transformed from chemical energy(ions like sodium and potassium in axons of neurones and chemo-receptors like cannabinoids in the brain) to electric energy (synapses,action potential) Na pia mitochondria Za neurones hutengeneza energg ambayo inakuwa transformed into heat ambayo baadae tunaipoteza kupitia kusweat Na radiation ya mwili.

Kwahyo jibu Ni ndiyo, mawazo yanatofautiana utumiaji wa energy.

Iko Hivi Kila unapowaza Kuna neurones ziko associated Na Hilo wazo...kwahyo Kadri wazo linavyokuwa kubwa ndivyo neurones nyingi Zaidi huhusika kuliwaza.
Ndiyomaana Ni ngumu mtu kubadili Dini kwasababu Kila siku tokea ajitambue anaweza kuhusu Mungu,mbingu Na dhambi...Kwahyo neurones zilizokuwa associated Na hayo mawazo Zina bond kubwa...Hivyo kutengeneza mawazo kinzani (let's say introduce uislam Kwa mkristo) hayo mawazo yanakuwa Na neurones chache zilizo bond hivyo yanakuwa hayana nguvu.
Ndiyomaana Ni ngumu watu kubadili tabia,Dini,vyama,uraia Nk. Nk.

Inshort hii inapimika maabara kupitia fMRI (functional magnetic resonance imaging) wanaweza kupima activity Za neurones Kwa Kila state ya ubongo...
Na hii walishajaribu mpaka kutrace sehemu ya ubongo inayohusika Na mawazo,hisia Na kumbukumbuku..hisia Ni amygdala, hippocampus, thalamus Na hypothalamus...kumbukumbu ni cerebellum, prefontal cortex, amygdala Na hippocampus Na mawazo Ni cerebrum.

Inshort mawazo makubwa au kumbukumbuku zile vivid Zaidi zenye details nyingi zinahitaji neurones nyingi Zaidi Na hivo huhitaji energy nyingi Zaidi.

Binadamu ana neurones nyingi (ukicompare size ya mwili wake) Kuliko viumbe wote..Ndiyomaana ana mawazo mengi Zaidi.

Tuna billions of neurones zenye uwezo wa kutengeneza trillions of connections...
 
Mfano nikasema huyo muwazaji ni sehemu ya wazo, zaidi ya wazo [nje ya wazo] na pia kwa kuwa ndio wazo jenyewe ina maana yu ndani ya wazo inakaa?
Haikai, muwazaji sio sehem ya wazo ila wazo Ni sehemu ya muwazaji/wawazaji.
Muwazaji anaweza kuishi bila wazo ila wazo haliwezi kuwepo bila muwazaji.

Binadamu anaweza kuishi bila Dini, ila Dini haiwezi kuwepo bila binadamu kuwepo.
 
Ooookay nakumbuka nilikubaliana nanyi kwamba ili sisi tuwaze wazo fulani tunatumia energy.

Kuwa makini hapo, hiyo energy haijatumika kuunda wazo bali imetumika kuliwaza hilo wazo.

Kifizikia kama energy ingetumika kuliunda basi baadaye wazo lingecontain some potential energy. Najua hii fact tumekubaliana tayari kuwa wazo halina energy nisipoteze muda hapa, tayari tupo pamoja.

Basi nitasemaa; huo mchakato wooote uliouainisha wa kikemikali, kiumeme na kinishati ni kwa ajili ya kufanya kazi ya kuliwaza wazo ambalo jenyewe lipo tu.

Usipotumia hizo nguvu ni hasara kwako ila jenyewe lipo tu. So nguvu unaitumia katika kujimilikisha wazo ubongoni mwako. Lisingekaa ubongoni mwako jenyewe lingekuwepo tu ila wewe ndio usingelitambua, halinaga hasara.

Kwa hiyo wazo lipo wala halihitaji nishati/energy ili liwepo, ila ili liwe expressed itahitaji muwazaji atumie nishati kuliwaza na kuliexpress JE?🤭
 
Haikai, muwazaji sio sehem ya wazo ila wazo Ni sehemu ya muwazaji/wawazaji.
Muwazaji anaweza kuishi bila wazo ila wazo haliwezi kuwepo bila muwazaji.

Binadamu anaweza kuishi bila Dini, ila Dini haiwezi kuwepo bila binadamu kuwepo.
Utata bado upo, labda ukitusaidia tafsiri ya yako ya mtu ni nini/nani itasaidia.

Mbona mi naona kama muwazaji naye ni sehemu wazo, kiasi kwamba hawezi akawepo bila wazo. Sijui lakini kwako wewe, kwani wewe umejichukulia kuwa ni nani/nini? Mimi nimejichukulia kuwa ni ile consciousness yangu, wazo-hai la mimi.

Sasa kama ni wazo fikiria, hivi unadhani unaweza ukawaza wazo lolote likawa jipya kabisa bila kutegemea wazo jingine? Mfano ukiangalia hata kanuni mbalimbali zinakataaga [Godels incompleteness theorems]
 
Let's say Mimi sasaivi ninawaza "fsvhgcstexxz***hdգռյեըճծf@=}∆÷|¥°==€®™""__&&-(9/7-5_"
Hilo wazo limeanza kuwepo lini?
Mimi nasema limeanza kuwepo baada ya Mimi kuliwaza..na nisingeliwaza, probability Ni kubwa Kuwa hata when given infinite time haKuna mtu angezipanga Hizo herufi Kwa mpangilio Huo.
Meaning Hilo wazo nimeliumba Mimi Na Kabla yangu halikuwepo.
Mawazo yanakufa. Pia
Sio Kila wazo lililowahi kuwazwa Na binadamu wote lipo Leo
Machache yanabaki katika uhai,,mengi hupotea.
Nyerere probably aliwaza mawazo trillion ^ trillions of them. ila tunayomkumba hayafiki milioni.

Kwahyo mawazo Ni kama sparks Tu, Kuna mengine yana lifespan ya sekunde( mf. Saivi Nawaza kuandika hii herufi k kwa wingi kkkk) Na mengine yanadumu Millenia nyingi kama wazo la 'Yesu Ni mungu..'


In summary, mawazo yamekuja kwenye ulimwengu thanks to neurones and intelligence..
ila ulimwengu ulikuwepo Kabla ya neurones,utaendelea kuwepo Hata Maisha yote yakiextint.




 
😂😂😂😂😂😂😂 asee mfano wako ni noooma sana
 
Consciousness sio wazo-hai.
Consciousness Ni ufahamu.
Ufahamu unahusisha Kila kitu, ikiwemo mawazo,kumbukumbu,hisia,cognition, senses etc.

Vyote hivyo Ni physical processes ndani ya ubongo.
Kwahyo wewe Ni ubongo wako.

Wewe Ni Nani?? Essentially??
Wewe sio ufahamu wako...ingawaje ufahamu Ni sehemu kubwa(Karibia yote) kuhusu wewe 'unayoijua'

In summary, Wewe ni muunganiko wa neurones kwenye ubongo wako.

Ni Sawa Na computer ..Je computer Ni Ile hardware au software??

Sawa, Kwa haraka haraka jibu Ni software kwasababu ndiyo inagovern purpose nzima ya computer ...Lakini haimaanishi computer Ni software...Computer Ni hardware, Ni zile atoms zilizoijenga...
Hii software tumeipa Sisi maana Kwa lugha tunayoielewa...

Lakini as far as the universe is concerned a computer is just an object with mass ....

Ulimwengu hajawahi kujali mawazo yetu Na hautakuja kuyajali..

SEMA human ego inatufanya tujione Sisi Ni wa muhimu hapa ulimwenguni (mpaka stage ya kufikiria Sisi Ni special Kuliko viumbe vyote,vitu vyote na sayari zote mpaka Mungu Aache matrillioni ya galaxies Na matrillioni ya sayari, aje duniani Aache mamilioni ya species zilizopo, afe Kwa ajili ya specie Moja Tu ya homo sapiens ili aisamehe dhambi)
Lakini kwenye uso wa ulimwengu ..we are nothing but moving atoms
 
Big brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…