UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

Magufuli alipunguza Idadi ya wajumbe was Kamati kuu ya CCM kutoka 15 hadi 6 kwa Tanzania bara, SAMIA ameamua airudishe kama ilivyokuwa wakati was Kikwete.

Ndio shida ya Africa chama ni Mwenyekiti na Mwenyekiti ndio chama atakavyotaka ndivyo itakavyokuwa-zidumu fikra za Mwenyekiti.
 
Weka ushahidi hapa
 
POLE SANA TANZANIA.

MUNGU TUNAOMBA UTUINULIE KIONGOZI WA NCHI YETU.

UTUEPUSHE NA MADIKTETA,WALAFI, MAFISADI,WEZI NA MAJIZI.
 
Una laana ya kushuhudia wenzako uongo, ukiombwa ushahidi wa hili unaanza kumbwela tu
 
Wasanii na motivation speaker kibao in the building...

Nawatakia kila la kheri kwa kweli....
Safari ya madaraka huanza taratibu
HAKIKA safari hii Chama kimechangamka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…