bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
rudi ukasome historia ya nchi hii utaelewa.hayo mavitu wala siyajui, nayasikia tu...yanahusu nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rudi ukasome historia ya nchi hii utaelewa.hayo mavitu wala siyajui, nayasikia tu...yanahusu nini?
Unaruhusiwa kugombea uenyekiti taifa?CCM Demokrasia ni ya kiwango cha juu Sana
kn majina nimeyaona ,kumbe nao ni kijaniChama kubwa
Hahaha kwani Wewe ni mpiga kura?1.shilole
2. manara
3. wassira
4. dauda
5. keisha
6. lukuvi
7. mwigulu ana tamaa sana, ina maana kwenye fedha hajaridhika nako..au kibubu kakimaliza anataka hamia kibubu cha chamani nako akombe??
8. msukuma, PHd ya mchongo ile atulie tu
9. gwajima bishop langu la ukweli, anapambana kushusha heshima yake ila Mungu anamgomea..jina halitarudi kwenye mambo ya kaisari😛
10.lukuvi, ikulu imekugomea unapambana na chamani ambako wapo waliokukataa ikulu ndio madereva huku
Hapiti. Huyu ni sukuma camp.Gwajima atapita kweli?
AiseeCCM Demokrasia ni ya kiwango cha juu Sana
Huyo Keisha si alikuwemo humo?Nimeona orodha iliyopitishwa ya wagombea viti vya wajumbe wa Halmashauri kuu ya taifa ya CCM ambacho ni chombo kikuu cha maamuzi ndani ya CCM na nchi kama chama tawala hakika ni mzaha wa hali ya juu na nchi inaenda kuwa kusanyiko la wajinga.
Unawezaje kuweka wagombea kama Haji Manara, Shilole au Keisha?
Yaani hao ndio wanaweza kujadili mambo mazito ya nchi kwa niaba ya wanaccm?
Hakika Mama Samia kama mwenyekiti ameridhia hayo napata mashaka makubwa kama anaielewa njia anayoipeleka nchi. Na kama kuna ansye mshauri hayo amuangaĺie kwa jicho la tatu.
Kwa utaratibu wa Chama, ni kiasi gani cha maslahi wanapata kwa kushukilia nafasi hizo kumi na tano?15 Tu