UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

Hahaha kwani Wewe ni mpiga kura?
mwigulu, gwajima na wassira naona wananiaibisha 😀 . Gwajima bishop ndani ya ujumbe wa chama, gwajima shemeji ndani ya uwaziri serikalini, hatari saana
 
Nadhani Moja ya usajili wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambayo waliover look na kipitisha jina ni huyu mwamba. Ushindi wake umeharibu furaha ya machawa. Mchungaji Dkt. Josephat Gwajima nenda ukatumie kipawa chako kwa ajili ya CCM na Taifa
 
Huyo na Msukuma wamewekwa kwa makusudi kabisa sababu ya Kanda ya Ziwa, na nina uhakika kabla ya kupewa walifundwa kwanza kama Mbowe na kuapa kutii na kuwa kuwa Chawa, wakigeuka wakawa upande wetu wananchi watakuwa na Sabaya, hivyo hakuna kitu hapo ni strategy tu ili watumike kuchukuwa kura kwa mafisadi Kanda ya Ziwa!
 
 
Back
Top Bottom