ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Yaani Nakerekwa na vile kila mtu anaipost CCM whatsapp status, twitter, instagram, Jamii Forum, Yaani Hii sisi Tutaitoa kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HazinaNenda kagombee uenyekiti wa chama chako ili upake rangi hata ofisi zenu pale ufipa,siyo muda wote kutafuna pesa tu kama mchwa
Pascal Mayalla yumo? Pascal MayallaWamenisahau
kazi kubwa za Kamati Kuu ni zipi,maana naona kila mmoja anakazana kuwa mle! kuna ujiko/ulaji/madaraka gani gani kuwa kule. Sorry i might look quite strange kutokujua hivi basic thingWamenisahau
Sijaliona jina lake!Gwajima atapita kweli?
wewe wazazi wake walizaaa hasara,Nenda kagombee uenyekiti wa chama chako ili upake rangi hata ofisi zenu pale ufipa,siyo muda wote kutafuna pesa tu kama mchwa
naona kama kuna jina la malaya hapo, kulikoni?1.shilole
2. manara
3. wassira
4. dauda
5. keisha
6. lukuvi
7. mwigulu ana tamaa sana, ina maana kwenye fedha hajaridhika nako..au kibubu kakimaliza anataka hamia kibubu cha chamani nako akombe??
8. msukuma, PHd ya mchongo ile atulie tu
9. gwajima bishop langu la ukweli, anapambana kushusha heshima yake ila Mungu anamgomea..jina halitarudi kwenye mambo ya kaisari😛
10.lukuvi, ikulu imekugomea unapambana na chamani ambako wapo waliokukataa ikulu ndio madereva huku
1.shilole

Chama kimeingiliwa.Gwajima atapita kweli?
tuwekee complete list pleaseWamenisahau
CCM Demokrasia ni ya kiwango cha juu Sana
Nikweli alipunguzaWeka ushahidi hapa
Nimeona orodha iliyopitishwa ya wagombea viti vya wajumbe wa Halmashauri kuu ya taifa ya CCM ambacho ni chombo kikuu cha maamuzi ndani ya CCM na nchi kama chama tawala hakika ni mzaha wa hali ya juu na nchi inaenda kuwa kusanyiko la wajinga.
Unawezaje kuweka wagombea kama Haji Manara, Shilole au Keisha?
Yaani hao ndio wanaweza kujadili mambo mazito ya nchi kwa niaba ya wanaccm?
Hakika Mama Samia kama mwenyekiti ameridhia hayo napata mashaka makubwa kama anaielewa njia anayoipeleka nchi. Na kama kuna ansye mshauri hayo amuangaĺie kwa jicho la tatu.
OMG15 Tu