UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

Yaani Nakerekwa na vile kila mtu anaipost CCM whatsapp status, twitter, instagram, Jamii Forum, Yaani Hii sisi Tutaitoa kweli?
 
Wamenisahau
kazi kubwa za Kamati Kuu ni zipi,maana naona kila mmoja anakazana kuwa mle! kuna ujiko/ulaji/madaraka gani gani kuwa kule. Sorry i might look quite strange kutokujua hivi basic thing
 
Gwajima atapita kweli?
Sijaliona jina lake!

Kama yumo kuna majina mawili tu ya msingi hapo ;-

1.Bashungwa
2.Gwajima

Hayo tu kama yapo lazima yapite!

Hata hivyo wasijisumbue kuhonga!

Kwani watahonga hewa tu,watafurahia KWA muda TU!

Nashangaa Bashiru hayumo KABISA!
 
naona kama kuna jina la malaya hapo, kulikoni?
 

Halima yahya(divana)- muigizaji
 
Namba 42 kwa wanaume mmemkosea adabu kwa kutoweka (PhD). Ifike wakati watanzania tuheshimu watu
 
CCM Demokrasia ni ya kiwango cha juu Sana

Demokrasia ya watu Million 59 kuwakilishwa na wajumbe 15 na watu Million 1,8 kuwakilishwa na wajumbe 15 !.

Huu ni upuuzi wa kiwango cha lami.
 
Naona Clouds Media hawataki kubaki nyuma. Baadhi ya Watangazaji nimewaona kwenye kinyang'anyiro.
 

Noma sana
 
Kumbe ndo wengi ivo alafu kina manara wanshindania nafasi moja na simbachawene ?
Kama ni ivo kwisha habari yao
Btw mtu kua MNEC kuna faida ipi jameni?
 
Tamaa mbaya sana ,lijitu libilionea lakini bado tu linaomba nafasi ya UNEC ,waachieni wengine ambao hawana kitu chochote.

Jitu libunge linalamba 12m ,Jitu liwaziri linalamba 20m ,jitu ni lifanyabiashara likubwa linalaingiza mamilioni,jitu likuu la wilaya lakini linakuja kubanana na kina Haris kapiga/Shafi dauda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…