UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

Kiukweli ili tuione kiuhalisia kasi ya awamu ya 6 ilibidi Rais aingie na timu mpya kabisa ya viongozi wa kisiasa.

Hata wabunge tulipaswa kupata wa kuendana na kasi ya mama na siyo kasi ya mwendazake sema tu Katiba inawalinda.

Maendeleo hayana vyama!
 

NASHUKURU NIMOOOO
 
Hawa jamaa ni watu makini sana Mkuu
Hakika.....

Imani yetu kuu ni wao kwenda kukisimamia chama na kuboresha mapungufu na changamoto za Kila uchao.......

Ubunifu wao kwa kukipeleka zaidi chama kwa vijana wadogo ndiko kutaacha alama kubwa kabisa.......


SIEMPRE JMT
SIEMPRE CCM
 
Naona comrades wengi wana majina ya kiarabu au ndio kusema chama kina wenyewe na wenyewe ni watu wa mtaa wa Gerezani na Kariakoo kwa alhadji Mohamed Said?
Upumbavu huo.....

Hivi ujinga utawatoka lini ?!!!!

Yaani mtu haangalii uwezo na hoja ya mtu bali ameitoa nani ?!!! Duuuh 😳😳😳🤣🤣

Hii inaitwa ARGUMENTUM AD HOMINEM na kamwe huikuti kwa mtu aliyepata ELIMU vyema...awe hata daktari ama Profesa....huwakuti hao....Ukikutana nao ujue ni makanjanja VICHWANI......🤣
 
😍
 
Komredi kwani wabunge wetu wanasuasua nyuma ya kasi ya El Comandante Samia Suluhu Hassan?!!!

Wewe huwaoni akina mh.Hallima Mdee wanaupiga mwingi huko bungeni?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…