UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

Pesa iliyoletwa na IMF ni mkopo kwa taifa la Tanzania. Lakini sasa tunasikio makatibu wateule wa CCM wanaagizwa kwamba nenda mkazisimamie hizo 1.3tr za IMF Ili uchaguzi wa 2025 ukawe rahisi kuliko ule wa 2020.
Kwani IMF imetoa hizo pesa kama zawadi na kwa ajili ya kampeni za uchaguzi na maandalizi ya uchaguzi?
Je, hiyo fedha italipwa na hao CCM au ni mzigo kwa kila Mtanzania?
Kwani fedha ya mkopo kutoka nje ikija Tanzania haisimamiwi na taratibu exchaquer?
Nchi buana ni shida sana. Waziri wa fedha uko wapi kuwa mshauri makini wa Rais kuhusu vyanzo vya mapato na matumizi yake?
 
Iko poa sana
 
Mkuu hujasoma vizuri, Mwandishi amesema zikasimamiwe vizuri sio mambo ya Uchaguzi hapo
 
Shaka na CCM yake ni waongo kweli hawa jamaa. Shaka anasema wateule wote hakuna aliyetoka nje ya mfumo wa CCM, Lakini huyo Katibu wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma alikuwa ni kiongozi na mwanachama wa Chadema akaunga mkono juhudi
 
Shaka na CCM yake ni waongo kweli hawa jamaa. Shaka anasema wateule wote hakuna aliyetoka nje ya mfumo wa CCM, Lakini huyo Katibu wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma alikuwa ni kiongozi na mwanachama wa Chadema akaunga mkono juhudi
Huenda alikuwa CCM kabla chief, Muulize vizuri
 
Hongereni
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Hongera
 
Hongereni majembe ya Samia
 
Kachapeni kazi
 
Mimi CHADEMA ila namkubali sana Mama
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…