nyengella
Member
- Aug 13, 2015
- 70
- 79
Pesa iliyoletwa na IMF ni mkopo kwa taifa la Tanzania. Lakini sasa tunasikio makatibu wateule wa CCM wanaagizwa kwamba nenda mkazisimamie hizo 1.3tr za IMF Ili uchaguzi wa 2025 ukawe rahisi kuliko ule wa 2020.
Kwani IMF imetoa hizo pesa kama zawadi na kwa ajili ya kampeni za uchaguzi na maandalizi ya uchaguzi?
Je, hiyo fedha italipwa na hao CCM au ni mzigo kwa kila Mtanzania?
Kwani fedha ya mkopo kutoka nje ikija Tanzania haisimamiwi na taratibu exchaquer?
Nchi buana ni shida sana. Waziri wa fedha uko wapi kuwa mshauri makini wa Rais kuhusu vyanzo vya mapato na matumizi yake?