UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

Katibu mkuu kiongozi ndiye kiongozi wa watumishi wote wa umma, katibu mkuu ofisi ya Raisi ni cheo kingine na wala sio mkuu wa watumishi wa umma
 
Huyu mama ni hovyoo sana. Anajifanya anajua dini, halafu mznz sana anakopa kwaajjli ya zenji kwa hisani ya zaznz halfu huku wanasema znz ni nchi tena wanasema wanataka code yao.
 
Vijana mnawivu hata kwa watu msiowajua

Ukikiuliza msigwa alikukosea nini utajibu basi tu yaan


Chuki huumiza kwa aliye ihifadhi
Hayo ni maneno yenu nyinyi waramba miguu wa jiwe
 
Kuna tofauti Kati ya serikali na Rais wa nchi?
 
Lazima mama awake watu wake anaowaamini, ili siri za serikali kutoka Ikulu zitunzwe vizuri

Ila wewe kweli utopolo huyo Haniu aliteuliwa na JPM akawa ikulu. Then akamteua akaenda media za CCM. Shida yenu mnapenda kupambana na marehemu na Hii inawapa ugonjwa wa moyo. JPM amekufa. Tuna Samia.
 
Alikuwa kichefu chefu sana

Acha Lugha hizo wewe PUMBAVU. Humjui hakujui. Hajawahi hata kukutukana. Unawezaje kumwita binadamu mwenzako hivyo. Huyu Haniu kama hujui aliletwa Ikulu na JPM and then akapewa cheo pale Media ya CCM na kumbuka majengo na mitambo mipya ilizinduliwa na JPM na bosi wa pale ndo alikuwa Haniu.

Acha kupambana na marehemu. Tuna Samia Sasa. Uwepo wake ni kwa ajili yetu. Usipende kujiweka relevant katika upumbavu. Grow up na hata kama Bangi inakusumbua Basi itumie kwa kulima. Kufail kwako kimaisha kusitubughudhi sisi hapa JF.
 
Endelea kuota na kujidanganya kuwa kila anayepinga viongozi wazembe ni mpinzani.

Au kila anayepinga utawala mbovu yupo nje ya system ya kiutawala.
 
Yes Ni Watu hawajui Kwamba Haniu Alikuwaga Mwandishi Wa Hotuba Wa Hayati, akiwa na Akina Bohoela(Sjui Kama nimeandika sahh Hilo Jina) Haniu akapelekwa AMG na Bohoela akapelekwa Mambo Ya Nje Kama Mkuu Wa Mawasiliano Mambo Ya Nje
 
Hahaha aisee umechukia Sana...usipate na watu wa aina hiyo...hawajui Mambo mengi ndani ya nchi Hii...
 

Sasa hii itakuwa baraza la ulamaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…