Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Hahaha lakini umesema tayari kuwa ni "SOLAR".

Tofautisha umeme huu wanaosambaza Tanesco na umeme huo wa solar. Generation ya umeme kutoka kwenye vyanzo mbali mbali kama maji, gas au diesel ina gharama kubwa sana mkuu kuliko solar.

Transmission ya umeme kutoka kwenye power plant kwenda kwenye substation nayo ni gharama sana.

Distribution ya umeme kutoka substation kubwa kwenda kwenye substation ndogo (transformers) kisha kwenda kwa end users (wateja) ni gharama.

Achilia mbali maintenance za miundombinu, man power n.k

Msichukulie hivi vitu kiurahisi hivyo. Ku harness solar power rahisi lakini umeme wa solar sio reliable na efficient kama huu mwingine.

Ingekuwa rahisi hivyo mbona nchi nzima hata mabanda ya mbwa yangekuwa na umeme tena wa bure kabisa.
 
Hakuna familiaya mpya itakayo ingia kwenye uongozi.
Hiyo ni kanuni ya CCM seme tu ile miaka mitano nyuma walikosea step, ndiomaana sasahivi wanaenguliwa wote waliongizwa serikalini bila kuwa member wa zile familia za kitawala.

Hii nchi ni ya familia fulanifulani , wengine wote ni wapiga kelele tu kwenye mitandao kushangilia teuzi na utenguliwaji kama unavyoona Raia humu😃.

Utakuta mtu kakomaa, eti bora team fulani na fulani umerudi 😃😃😃
 
Nao akina Polepole wanafutika soon waganga njaa alafu akina kasimu na bashiru ni maslahi binafsi ya Meko!!!! Fuatilia saga la mfuniko wa Mafuta bandarini lililosanuliwa na sospeter alipobiwa na bwana Joseph!!!! Ninyi Magufuli was a thief
 
Watozonia tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi. Tumechoshwa na uhuni na ujambazi wa nchi hii wa miaka nenda miaka rudi. Tukishavipata hivyo ndiyo tuongelee uchaguzi wa 2025.
Kwa mazingira yalivyo hakuna cha katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi.

Haya ni masuala magumu sana kutekelezwa kwa sasa.

CCM itaendelea kuongoza hii nchi na kuifanya iwe ngumu zaidi kwa upinzani.

Mimi na wewe tupo hapa twaendelea kushuhudia.
 
Mkuu acha chuki za kipumbavu, NISHATI NA WIZARA YA MADINI WAPI NA WAPI?? BITEKO NI WAZIRI WA MADINI NA MAKAMBA NI WA NISHATI.
Zipo sababu za kumtoa Kalemani na pia zipo sababu za kumweka January Makamba.

Ni kupima uzito upo wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…