Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Mchezo gani?Nilijua kwa Kalemani....huo mchezo wao walioufanya umemkost.. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezo gani?Nilijua kwa Kalemani....huo mchezo wao walioufanya umemkost.. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Mama hayuko serious, watanzania tuendelee kudai katiba mpya.Naunga mkono hoja Mkuu gaidi Mwigulu Nchemba na muongo Majaliwa kuendelea kuwemo kwenye cabinet ni janga kubwa la Kitaifa.
AkwendreKwaheri mwanajumuia wa Chattle
Kuna page 2 na Mwanasheria mkuu Feleshi mwisho kabisaMbona barua haina signature au mkeka unaendelea page ya pili?
Mbarawa yuko vizuri sana acha porojo zako za dini hapaa..Ni zamu ya waislamu na wazanzibar . Mbarawa ni Mzanzibar .
Hahaha lakini umesema tayari kuwa ni "SOLAR".Nimekuta kule wilaya ya Uvinza, Kigoma, vijiji vya mwambao wa ziwa Tanganyika Rukoma, mgambo, Buhingu etc kuna private company wenyewe wanasambaza umeme wa Solar. Wao ukitaka umeme wao wanakuletea wenyewe na kuingiza nyumbani kwako for free, wewe kazi yako ni kulipa bili zao basi. Imagine hao ni private company hawana cha ruzuku wala nini...
Hiyo ni kanuni ya CCM seme tu ile miaka mitano nyuma walikosea step, ndiomaana sasahivi wanaenguliwa wote waliongizwa serikalini bila kuwa member wa zile familia za kitawala.Hakuna familiaya mpya itakayo ingia kwenye uongozi.
Mchezo ganiNilijua kwa Kalemani....huo mchezo wao walioufanya umemkost.. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Nao akina Polepole wanafutika soon waganga njaa alafu akina kasimu na bashiru ni maslahi binafsi ya Meko!!!! Fuatilia saga la mfuniko wa Mafuta bandarini lililosanuliwa na sospeter alipobiwa na bwana Joseph!!!! Ninyi Magufuli was a thiefNafikiri ni influence za wazazi tu. Mkuu kuingia kwenye system ya serikali hasa ya CCM ni kazi sana kama hauna back up, labda kama atokee mtu ambae hayuko sawa na watu wanaoaminika kuwa ndo wenye CCM apate madaraka makubwa ndo akuingize kama walivyopata bahati akina Polepole, Bashiru, Kalemani, Protas, na MAJALIWA.
Kizembekizembe ni ngumu sana kupata nyazifa za juu, ndomaana Sasa hivi uatashuhudia uenguliwaji wa watu wote ambao hawana link na lile kundi linaloaminika kama (wenye CCM) kwasababu aliyewaweka hayupo tena.
Mgombea Urais ajae atashangaza sana, si ajabu akawa ni Madelu😅. Always wanazungukana tu humohumo.
pigeni vigeregere jamani ....
natamani Nchemba naye atumbuliwe kudadeki
Absolutely trueHakuna familiaya mpya itakayo ingia kwenye uongozi.
Mkuu acha chuki za kipumbavu, NISHATI NA WIZARA YA MADINI WAPI NA WAPI?? BITEKO NI WAZIRI WA MADINI NA MAKAMBA NI WA NISHATI.Wamemuweka Makamba ili wauze migodi wajaze account zao.
Kwa mazingira yalivyo hakuna cha katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi.Watozonia tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi. Tumechoshwa na uhuni na ujambazi wa nchi hii wa miaka nenda miaka rudi. Tukishavipata hivyo ndiyo tuongelee uchaguzi wa 2025.
Nishati ndio Nina mashaka makubwaUlinzi kachemsha
Kwa jicho la tatu unahisi huyu anaweza kumkontrol msukuma au ile "ndio mkuu"🏃🏃🏃🏃Ulinzi kachemsha
Kafanyaje tena mkuuNilijua kwa Kalemani....huo mchezo wao walioufanya umemkost.. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
Zipo sababu za kumtoa Kalemani na pia zipo sababu za kumweka January Makamba.Mkuu acha chuki za kipumbavu, NISHATI NA WIZARA YA MADINI WAPI NA WAPI?? BITEKO NI WAZIRI WA MADINI NA MAKAMBA NI WA NISHATI.