MASHANJARA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 379
- 500
HUYU MAMA NI MSOMI KIWANGO CHA LAMI, KESHAFANYA KAZI NA VIONGOZI WENGI WA NCHI JIRANI ZETU NA KWA KUWA HATUKO VITANI ATAWEZA KUWA ADMINISTRATOR NA COORDINATOR MZURI WA WIZARA HASA KWA SABABU CDF ALIYEKO ANAJITAMBUA NA YEYE NDIE MWENYE JESHI NA WANAJESHI KWA SASA. TUSIWE NA HOFU. MIMI NAMWAMINI.Totally unfit for the position
Kumbe alishiriki Ile dhambi.......Pengine kwa Kalemani inaweza kuwa ni karma ya kutoa CCTV camera nyumbani kwake baada ya Tundu Lissu kushambuliwa.
Ila hakuna mwanadamu ajuae kesho yake.
ThibitishaMkuu issue ya mafuta na gesi kulikuwa na mchezo mchafu na pm anahusika..
Sio kirahisi hivyo mkuu, nadhani yeye atakuja mbeleni sana huko(kama ataendelea kuwa hai). Mkuu kupitishwa kugombea Urais si kitu unachoweza kukitabiri kizembe hivyo, Miaka yote wagombea urais wa CCM huwa ni wale wasiotarajiwa kabisa, kuanzia kwa Mwinyi mpaka kwa Magufuli.Makamba the next President?
KhaaaaaaHongera January, hatimaye nyota imeng'ara!
We [emoji8][emoji8] u January[emoji126][emoji126]
Wewe unapinga kila kitu na unafahamikaAisee.. Mlikuwa mnabet bet tu
Kwa mazingira yalivyo hakuna cha katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi.
Haya ni masuala magumu sana kutekelezwa kwa sasa.
CCM itaendelea kuongoza hii nchi na kuifanya iwe ngumu zaidi kwa upinzani.
Mimi na wewe tupo hapa twaendelea kushuhudia.
Leta post yako ya zamani ukimlalamikia master wa utumbuaji,The late JPM.Mkuu anaeletwa ndo atafanya nn au ilimladi mabadiliko?? Toka ameanza kazi yy Ni kuteua na kutengua Kwan kazi zingine hakuna?? Kunajambo haliko vzr kwa mama...
Bichwa maji bwana wewe ni mmoja wa wale waliokuwa wanabeza kwamba hakuna mabadiliko yoyote tarajiwa kwenye baraza la mawaziri, tena kwa kujiapiza kwamba hao ni Chadema wamekosa agenda. Sasa unajifanya unashangaa [emoji12][emoji12][emoji12]Kwamba yalizunguzwa kama hao wanateuliwa?
Hebu tupe taarifa kamili
Kumbe ndio ilikuwa hivyo? Lakini una uhakika, au ndo story za vijiwe vyenu vya kuvutia bangi?Kumbe alishiriki Ile dhambi.......
.........Homeboy katoe cctv Kuna kitu tunataka kufanya hatutaki ushahidi.........
Mkuu tunajadili bila kutukana, Kama hauni tunavyoyumba fumba macho kidg, halafu fumbua utaelewa... Yaan unaona sa iv kila siku teuzi teuzi hakuna la maana sa makamba nae wazir jamani hii nchi inavituko vikuuUnapima kuyumba ukilinganisha na awamu gani?
Watanzania tuache upumbavu..viongozi wetu wengi ni substandard na wengi below standard na hii ni kwa miaka na miaka..hii ya kujifanya sijui tunayumba sasa hivi ni unafki tu na upumbavu.
Akifa mwingine... Nape ndaniBado Nape, naye akae mkao wa kula.. Muda wao huu sasa, kutesa kwa zamu.
Kwanini mkuu?Ulinzi kachemsha
Kweli kabisa bado kina Kabud na his associatesSukuma Gang inapukutishwa kimtindo.
Laana ya Chadema sasa waparuane tu hakuna namna..Wala si mchezo Ni racilism Tena kwa kasi kubwa inaanza kuonekana
Kabisa, Serikali inahangaika kukusanya hela mpaka kwenye tozo za simu halafu yeye anaziachia kizembe zembe kabisa. Eti mpaka mtu aliyejenga nyumba ya 100m naye analipishwa 27,000!!Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.
Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Mkuu anaeletwa ndo atafanya nn au ilimladi mabadiliko?? Toka ameanza kazi yy Ni kuteua na kutengua Kwan kazi zingine hakuna?? Kunajambo haliko vzr kwa mama...
Kalemani acha apumzike. Tanesco ingekufaSawa, team Magufuli ya the Chamurilos, Kalemanis, Nduguliles, Kilagis mpo!
Hii ndio shida ya serikali za Kiafrika.ni group la makufuli