Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Totally unfit for the position
HUYU MAMA NI MSOMI KIWANGO CHA LAMI, KESHAFANYA KAZI NA VIONGOZI WENGI WA NCHI JIRANI ZETU NA KWA KUWA HATUKO VITANI ATAWEZA KUWA ADMINISTRATOR NA COORDINATOR MZURI WA WIZARA HASA KWA SABABU CDF ALIYEKO ANAJITAMBUA NA YEYE NDIE MWENYE JESHI NA WANAJESHI KWA SASA. TUSIWE NA HOFU. MIMI NAMWAMINI.
 
Pengine kwa Kalemani inaweza kuwa ni karma ya kutoa CCTV camera nyumbani kwake baada ya Tundu Lissu kushambuliwa.
Ila hakuna mwanadamu ajuae kesho yake.
Kumbe alishiriki Ile dhambi.......
.........Homeboy katoe cctv Kuna kitu tunataka kufanya hatutaki ushahidi.........
 
Makamba the next President?
Sio kirahisi hivyo mkuu, nadhani yeye atakuja mbeleni sana huko(kama ataendelea kuwa hai). Mkuu kupitishwa kugombea Urais si kitu unachoweza kukitabiri kizembe hivyo, Miaka yote wagombea urais wa CCM huwa ni wale wasiotarajiwa kabisa, kuanzia kwa Mwinyi mpaka kwa Magufuli.
 
Ugumu wa kuwapatia raia wanachokitaka ili kuhakikisha chaguzi zetu ni za HAKI NA HURU unatoka wapi!? 😳😳😳 Watanzania tumechoshwa na uhuni na wizi unaofanywa na polisiccm wakishirikiana na Tume FEKI ya uchaguzi kutuwekea Madiwani, Wabunge na Rais ambao HATUKUWACHAGUA!!!
Kwa mazingira yalivyo hakuna cha katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi.

Haya ni masuala magumu sana kutekelezwa kwa sasa.

CCM itaendelea kuongoza hii nchi na kuifanya iwe ngumu zaidi kwa upinzani.

Mimi na wewe tupo hapa twaendelea kushuhudia.
 
Kwamba yalizunguzwa kama hao wanateuliwa?

Hebu tupe taarifa kamili
Bichwa maji bwana wewe ni mmoja wa wale waliokuwa wanabeza kwamba hakuna mabadiliko yoyote tarajiwa kwenye baraza la mawaziri, tena kwa kujiapiza kwamba hao ni Chadema wamekosa agenda. Sasa unajifanya unashangaa [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Kumbe alishiriki Ile dhambi.......
.........Homeboy katoe cctv Kuna kitu tunataka kufanya hatutaki ushahidi.........
Kumbe ndio ilikuwa hivyo? Lakini una uhakika, au ndo story za vijiwe vyenu vya kuvutia bangi?
 
Unapima kuyumba ukilinganisha na awamu gani?

Watanzania tuache upumbavu..viongozi wetu wengi ni substandard na wengi below standard na hii ni kwa miaka na miaka..hii ya kujifanya sijui tunayumba sasa hivi ni unafki tu na upumbavu.
Mkuu tunajadili bila kutukana, Kama hauni tunavyoyumba fumba macho kidg, halafu fumbua utaelewa... Yaan unaona sa iv kila siku teuzi teuzi hakuna la maana sa makamba nae wazir jamani hii nchi inavituko vikuu
 
Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.

Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Kabisa, Serikali inahangaika kukusanya hela mpaka kwenye tozo za simu halafu yeye anaziachia kizembe zembe kabisa. Eti mpaka mtu aliyejenga nyumba ya 100m naye analipishwa 27,000!!
 
Mkuu anaeletwa ndo atafanya nn au ilimladi mabadiliko?? Toka ameanza kazi yy Ni kuteua na kutengua Kwan kazi zingine hakuna?? Kunajambo haliko vzr kwa mama...

Ha ha ; hakuna cha kuchange mzee whether kuna jambo lipo sawa au lah : kubalini tu hadi 2025. Na mkikaa vibaya anaendelea au atamkabidhi mwinyi.

Mwinyi anakuja kuwapigisha kwato. Nchi inatema cheche ...... checheee. Mtaishia ku comment tu but mambo ndiyo yapo hivo Fire Fire [emoji91].

Makanja wameshaanza kusogea jikoni na wote watakuja jikoni ni suala la muda tu.

Komboeni nchi yenu; acheni kupoteza poteza muda kwa social media ; fanyeni maamuzi sahihi.

Hopefully unayajua maamuzi sahihi ni yapi.

Mzee wa Msoga, from a disant ..... Mzee yule kwake ana Warehouse kabjsa Ina USD kama bank; yaani humo ndani unaingia Na Forklifts hatari sana.

Mama ni Ubavu wa Mzee wa Msoga. Hawezi kupindua chochote hata akitaka kupindua.

Mama anaupiga mwingi safi sana
 
Back
Top Bottom