Hana isolated power kufanya hivyo. Mradi uko kwenye execution atauzuia vipi tena. Hawezi.Nauona mradi wa mwalim nyerere unaenda kufa makamba alikua anaupinga sana ule mradi akiwa waziri wa mazingira
Huyo no 1..angefaa awe wazir wa mifeedha...nashangaa mwigulu anadunda tu...Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo
- Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa
- Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile ambae uteuzi wake umetenguliwa
- January Makamba anachukua nafasi ya Merdard Kalemani wizara ya Nishati
- Makame Mbarawa anachukua nafasi ya Chamuriho wizara ya ujenzi na uchukuzi
- Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Kilangi kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali
View attachment 1935268
View attachment 1935270
Tumeandika sana kuhusu "succession plan" ,lakini hakuna anayesikiliza na kutekeleza.I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Mmeanza sasa kupiga filimbi zenuπ , hayo yote uliyoyaandika hapo yanahusiana vipi na mwanasheria mkuu wa Serikali?Huyo mwanasheria ametolewa kwa sababu ameshiriki sn kutenfeneza mashitaka hewa ya Mbowe.Na hana ushauri sahihi kwa serikali mpaka kupelekea kuichonganisha serikali na wananchi na kuongeza uhasama
Gharama zipi zinawatofautisha?Mkuu mtu anaehitaji service line ya pole to bracket within 30 meters alipie 27,000/- na anaetaka kufanya extension ya LT meter 300 nae alipie 27,000/-?
Hiyo ni feasible mzee?
Inabidi Memba humu waandamane....π€£π€£π€£π€£π€£ Pascal Mayalla unaitwa huku.
Sasa hapo ndpo tunaanza na tatzo, unafkr tulikuwa tayar kuongozwa na mwanamke?? Na Kama tulikuwa tayar Nan tulimwandaa kuwa?? uRais c bahati nasib mkuu.. unaona Sasa, hata ww unakil hatuko tayar Sasa Ni Lin tulisema tuko tayari??Badili mtazamo wako wa kufikiri,
mfano mdogo ni Angel markel . Tanzania hatuyumbi ila akili zetu zimekataa kuamini tunaongozwa na mwanamke
Ugumu upo kwenye uoga wa kuingia front mkuu, hii waifahamu uzuri.Ugumu wa kuwapatia raia wanachokitaka ili kuhakikisha chaguzi zetu ziko ni za HAKI NA HURU unatoka wapi!? π³π³π³ Watanzania tumechoshwa na uhuni na wizi unaofanywa na polisiccm wakishirikiana na Tume FEKI ya uchaguzi kutuwekea Madiwani, Wabunge na Rais ambao HATUKUWACHAGUA!!!
Huyu aliupinga mradi wa JNHEP .... Amebadili mtazamo wake kuhusu matumizi ya sehemu ya mbuga ya Selous kuzalisha umeme? π€ π³Makamba ameula, Mkeka umechanika
Huyo mwanasheria ametolewa kwa sababu ameshiriki sn kutenfeneza mashitaka hewa ya Mbowe.Na hana ushauri sahihi kwa serikali mpaka kupelekea kuichonganisha serikali na wananchi na kuongeza uhasama
Huyo kaharibu kwenye nishati siku nyingi tu alikuwa anabebwa sababu ya Jiwe.Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.
Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Inabidi Memba humu waandamane....
Usiseme watanzania sema labda makamanda uchwara....watanzania tuendelee kudai katiba mpya.
Mkuu kwa nn mnapenda kutukuna watu?? Kwa nn usichangie tu bila kumtukana mtu utapungukiwa?? Anyway Asante kwa kuchagia nimeipenda akili yako mkuu..Hahahahah bongo bhana... we akili zako za makalioni unahisi mama hana taarifa sahihi juu ya teuzi hizi? Unataka kusema ww intelejensia yako ni nzuri kuliko ya Mh Rais.
Umo humu?Kwamba yalizunguzwa kama hao wanateuliwa?
Hebu tupe taarifa kamili