Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Kwa hiyo tozo man ameweza ku survive? kumbe huyu mama anafurahia sana kukamua wananchi tozo.....
 
Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo

  1. Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa
  2. Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile ambae uteuzi wake umetenguliwa
  3. January Makamba anachukua nafasi ya Merdard Kalemani wizara ya Nishati
  4. Makame Mbarawa anachukua nafasi ya Chamuriho wizara ya ujenzi na uchukuzi
  5. Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Kilangi kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali


View attachment 1935268
View attachment 1935270
Huyo no 1..angefaa awe wazir wa mifeedha...nashangaa mwigulu anadunda tu...
 
I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Tumeandika sana kuhusu "succession plan" ,lakini hakuna anayesikiliza na kutekeleza.
Tatizo moja kubwa na la msingi,ni mtu mmoja kuwa na "supreme power" ya kufanya maamuzi yote.
Mwenyekiti wa chama anakwambia, "nileteeeeeni Gwajimaaaaa" mpaka sauti inamkaua,na hatimaye anapelekewa na si kwa "merits", bali kwa matakwa ya mtu mmoja.
Wabunge wa CCM leo wote wapo pale kwa ridhaa ya mtu mmoja tu.
Ndani ya wabunge 300, wanaoweza na "kufit in" uwaziri hawazidi 50. Hapo unategemea nini cha maana kifanyike!!??
 
Huyo mwanasheria ametolewa kwa sababu ameshiriki sn kutenfeneza mashitaka hewa ya Mbowe.Na hana ushauri sahihi kwa serikali mpaka kupelekea kuichonganisha serikali na wananchi na kuongeza uhasama
Mmeanza sasa kupiga filimbi zenu😅, hayo yote uliyoyaandika hapo yanahusiana vipi na mwanasheria mkuu wa Serikali?

Yani issue ya Mbowe unataka kui-link kizembe hivyo na Mwanasheria mkuu wa Serikali? Wewe huelewi kitu.
 
Badili mtazamo wako wa kufikiri,
mfano mdogo ni Angel markel . Tanzania hatuyumbi ila akili zetu zimekataa kuamini tunaongozwa na mwanamke
Sasa hapo ndpo tunaanza na tatzo, unafkr tulikuwa tayar kuongozwa na mwanamke?? Na Kama tulikuwa tayar Nan tulimwandaa kuwa?? uRais c bahati nasib mkuu.. unaona Sasa, hata ww unakil hatuko tayar Sasa Ni Lin tulisema tuko tayari??
 
Ugumu wa kuwapatia raia wanachokitaka ili kuhakikisha chaguzi zetu ziko ni za HAKI NA HURU unatoka wapi!? 😳😳😳 Watanzania tumechoshwa na uhuni na wizi unaofanywa na polisiccm wakishirikiana na Tume FEKI ya uchaguzi kutuwekea Madiwani, Wabunge na Rais ambao HATUKUWACHAGUA!!!
Ugumu upo kwenye uoga wa kuingia front mkuu, hii waifahamu uzuri.

Siro akitamka tu akavunja miguu watu wanasepa.

Lakini hata huko Ulaya na Marekani watu wanaingia hivyohivyo ila tawala hujiandaa.

Kule Capitol Hill wamejiandaa kwa kupigilia mabango kuzuia entry kwa waandamaji.
 
Huyo mwanasheria ametolewa kwa sababu ameshiriki sn kutenfeneza mashitaka hewa ya Mbowe.Na hana ushauri sahihi kwa serikali mpaka kupelekea kuichonganisha serikali na wananchi na kuongeza uhasama

Mkuuu are you sure. Mana kuwa na bundle sio ticket ya kuharibu sifa za watu.
 
Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.

Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Huyo kaharibu kwenye nishati siku nyingi tu alikuwa anabebwa sababu ya Jiwe.

Hawa wote walitemwa wamaharibu sana wizara zao walikuwa wanatembelea nyota ya jiwe lakini hamna kitu.

Wapo na wengine soon watapata haki yao.
 
Kuna Mawaziri walikuwa mizigo kama Kalemani sijui ilikuwaje akawemo kwenye uwaziri mpaka siku ya leo.

Kuna vyyombo vimeundwa kwa mujibu wa Sheria lakini yeye alivipuuza akawa ndiye anayetoa maagizo na kupanga kila kitu.

Mhe. Rais hunda Tume iwachunguze baadhi ya waliokuwa Mawaziri.
 
Hahahahah bongo bhana... we akili zako za makalioni unahisi mama hana taarifa sahihi juu ya teuzi hizi? Unataka kusema ww intelejensia yako ni nzuri kuliko ya Mh Rais.
Mkuu kwa nn mnapenda kutukuna watu?? Kwa nn usichangie tu bila kumtukana mtu utapungukiwa?? Anyway Asante kwa kuchagia nimeipenda akili yako mkuu..
 
Back
Top Bottom