khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
Magufuli huyohuyo ndio alimuibua huyo mbarawa.Mbarawa ndani ya Nyumba nilisikitika Sana mwendazake kumwacha huyu maana ni mchapakazi Sana Magufuli kusema kweli hakuipenda ZANZIBAR na alikuwa na UKABILA SANAA
YuleyuleNa nani?
Na nani?
Hizo siasa za majitaka mbona TUNA MAWAZIRI WENGINE WANAPEWA SALUTE NA MAGENERAL ONGEA KITU KINA LOGIC SIO KUROPOKA TUU SALUTE NINI MBONA RAIS ANAPEWA SALUTE USILETE DHARAU KWA KINA MAMATena sana! Yaani huyu Maza awe anapewa salute na kina Mabeyo?? Anyway kwa kuwa Waziri wa Ulinzi ni kama pambo tu, mwenye say ni CDF kunako wizara yao
Ndungilile alikuwa hana uwezo wa kuongoza ile wizara, ilishmshinda, chamuriho huyo ndo kabsa kati ya mawaziri ambao hawafahamik kabsa huyu ndo wa kwanza, ujenzi kunahekaheka ye yupo tu..kalleman timu Chato imemtoa pale..AG huyu hpana kwa kweli mama umefanya vizuri,
We si Chadema! Najua unashangilie akialibu si faida kwako?Ndio hivyo tulivyoambiwa usiku huu , kwamba kuna wateule na watenguliwa wapya wako njiani kuja tena baada ya hawa wa leo kuapishwa .
Tunaambiwa hii ni mbinu mpya ya kubadili viongozi .
Tuendelee kusubiri tuone wateule wapya wanaokuja .
Kila kitu kipo tayari ni timing tu.Ndio hivyo tulivyoambiwa usiku huu , kwamba kuna wateule na watenguliwa wapya wako njiani kuja tena baada ya hawa wa leo kuapishwa .
Tunaambiwa hii ni mbinu mpya ya kubadili viongozi .
Tuendelee kusubiri tuone wateule wapya wanaokuja .
Hahahaaaa....... Utasubiri sana bwashee!Na Bwashee
Safi Sana, piga chini mazao ya dikteta magufuli mama, hao ndio wanaokuangusha Samia,Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo
- Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa
- Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile ambae uteuzi wake umetenguliwa
- January Makamba anachukua nafasi ya Merdard Kalemani wizara ya Nishati
- Makame Mbarawa anachukua nafasi ya Chamuriho wizara ya ujenzi na uchukuzi
- Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Kilangi kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali
View attachment 1935268
View attachment 1935270
Naona nchi sasa imerudi mikononi mwenu tena, sasa mna amaniHuyo kaharibu kwenye madini siku nyingi tu alikuwa anabebwa sababu ya Jiwe.
Hawa wote walitemwa wamaharibu sana wizara zao walikuwa wanatembelea nyota ya jiwe lakini hamna kitu.
Wapo na wengine soon watapata haki yao.
Mkuu sa iv serikal inaongozwa kutokea sehem nyingne, watu Wana interest za 2025... Bt makamba hafai na haenei kabisa kwenye hicho kiti, ndo ujue Sasa where we are approaching...
pengine uko sawa hebu nifahamishe kwa nini mteja ambaye zaidi ya kutumia umeme anunue nguzo ambayo mwisho wa siku ni mali ya tanesco ? jehilo linafanyika duniani kote au ni Tanzania tuTo make matters worse, hata hiyoTshs 27,000 eti ilipwe kidogo kidogo - kwa installment!
mimi ni mtoa taarifa tu mkuu , sina maslahi yoyoteWe si Chadema! Najua unashangilie akialibu si faida kwako?
Hahahaaaa....... Utasubiri sana bwashee!