Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

January Makamba [emoji1430][emoji1430][emoji1430] kuna watu huko waliko roho zinawauma sanaaaaaa[emoji2][emoji2][emoji2] wapi sukuma gang gang kazi iendeleeee
 
Tena sana! Yaani huyu Maza awe anapewa salute na kina Mabeyo?? Anyway kwa kuwa Waziri wa Ulinzi ni kama pambo tu, mwenye say ni CDF kunako wizara yao
Hizo siasa za majitaka mbona TUNA MAWAZIRI WENGINE WANAPEWA SALUTE NA MAGENERAL ONGEA KITU KINA LOGIC SIO KUROPOKA TUU SALUTE NINI MBONA RAIS ANAPEWA SALUTE USILETE DHARAU KWA KINA MAMA
 
Chamuriho alikuwa mtu wa kazi bila Kelele! Au kushinda site ndo kushindwa kwake?
Ndungilile alikuwa hana uwezo wa kuongoza ile wizara, ilishmshinda, chamuriho huyo ndo kabsa kati ya mawaziri ambao hawafahamik kabsa huyu ndo wa kwanza, ujenzi kunahekaheka ye yupo tu..kalleman timu Chato imemtoa pale..AG huyu hpana kwa kweli mama umefanya vizuri,
 
Ndio hivyo tulivyoambiwa usiku huu , kwamba kuna wateule na watenguliwa wapya wako njiani kuja tena baada ya hawa wa leo kuapishwa .

Tunaambiwa hii ni mbinu mpya ya kubadili viongozi .

Tuendelee kusubiri tuone wateule wapya wanaokuja .
We si Chadema! Najua unashangilie akialibu si faida kwako?
 
Ndio hivyo tulivyoambiwa usiku huu , kwamba kuna wateule na watenguliwa wapya wako njiani kuja tena baada ya hawa wa leo kuapishwa .

Tunaambiwa hii ni mbinu mpya ya kubadili viongozi .

Tuendelee kusubiri tuone wateule wapya wanaokuja .
Kila kitu kipo tayari ni timing tu.
 
Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo

  1. Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa
  2. Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile ambae uteuzi wake umetenguliwa
  3. January Makamba anachukua nafasi ya Merdard Kalemani wizara ya Nishati
  4. Makame Mbarawa anachukua nafasi ya Chamuriho wizara ya ujenzi na uchukuzi
  5. Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Kilangi kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali


View attachment 1935268
View attachment 1935270
Safi Sana, piga chini mazao ya dikteta magufuli mama, hao ndio wanaokuangusha Samia,
 
Huyo kaharibu kwenye madini siku nyingi tu alikuwa anabebwa sababu ya Jiwe.

Hawa wote walitemwa wamaharibu sana wizara zao walikuwa wanatembelea nyota ya jiwe lakini hamna kitu.

Wapo na wengine soon watapata haki yao.
Naona nchi sasa imerudi mikononi mwenu tena, sasa mna amani
 
Back
Top Bottom