Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Nao akina Polepole wanafutika soon waganga njaa alafu akina kasimu na bashiru ni maslahi binafsi ya Meko!!!! Fuatilia saga la mfuniko wa Mafuta bandarini lililosanuliwa na sospeter alipobiwa na bwana Joseph!!!! Ninyi Magufuli was a thief
Avatar yako tu inatosha kueleza wewe ni mtu mwenye malengo gani.Huyo uliemuweka kwenye avatar yako hakuwa mwizi, au ndo unadhani Watz ni wepesi wa kusahau kiasi hicho?

Yani uwatofautishe JK na JPM katika swala la wizi? Hakuna hata mmoja Kati yao ambae hakuwa Mwizi,labda kama umezaliwa 2000.
 
Kalemani is out. soon nchi itaingia gizani kama ilivyokuwa enzi za JK. watoto wa mjini wamekamata nchi
Makampuni ya nje yalikuwa yakitaka "access" ya soko la ndani na nishati ni moja ya masoko wanayotaka.

JPM alikataa hiyo kwa kutaka nchi ijitegemee kiakili na kiuchumi.

Hivyo ni kuangalia ni vipi serikali itaangalia maeneo mengine maana bwala la Mwalimu Nyerere limefikia asilimia 60 kujengwa.

Ila serikali lazima ikumbushwe kuwa mpaka sasa hakuna majenereta ya umeme mitaani kwani umeme upo wa kutosha.

Pia kule mto Ruvu wale wahuni wasithubutu tena kupunguza kiwango cha maji na kusababisha umeme wa mgao nchini.
 
Maybe the coastal region is regaining back the power! The game of survival of the fittest has started afressh..!
Kule Lameck huku February.. ! Dogo wa Kisimayo na yule Mnyankole bado wanasikilizia ... Maybe tomorrow anything can happen![emoji23]

Pwani wamepiga mbili bila.. Ni bao la kisigino lakini the fight is on! The gang vs the coastal! Piga nikupige... Mwenye kisu kikali ndio mla nyama! Mwenye kisu butu akinoe!
Maybe our mom is gaining grounds! Better be before its too late..! The gang is always sleepless! The struggle is on!
[emoji23]
 
Hebu acha hizooo Mkuu dhalimu mwendazake alikuwa mwizi alikwapua 2.7 trillions hazina na kugomea uchunguzi huru. CAGs Assad na Kichere waliweka hata kwenye ripoti zao. Alikuwa mwizi, fisadi na mbadhirifu mkubwa kuliko yoyote yule tangu tupate uhuru.

Makampuni ya nje yalikuwa yakitaka "access" ya soko la ndani na nishati ni moja ya masoko wanayotaka.

JPM alikataa hiyo kwa kutaka nchi ijitegemee kiakili na kiuchumi...
 

Ni ramli tu kama tabiri zingine
Nothing serious
 
Msemo upi unakujia kichwani ukiitazama picha hii ?

1) uongozi ni koti la kuazima.
2) cheo ni dhamana.
3)
4)

Ongezea nyengine hapo chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…