Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Hama nchi nyau wewe!!Hakuna jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hama nchi nyau wewe!!Hakuna jipya
Mama mwenyewe zaoSafi Sana, piga chini mazao ya dikteta magufuli mama, hao ndio wanaokuangusha Samia,
Avatar yako tu inatosha kueleza wewe ni mtu mwenye malengo gani.Huyo uliemuweka kwenye avatar yako hakuwa mwizi, au ndo unadhani Watz ni wepesi wa kusahau kiasi hicho?Nao akina Polepole wanafutika soon waganga njaa alafu akina kasimu na bashiru ni maslahi binafsi ya Meko!!!! Fuatilia saga la mfuniko wa Mafuta bandarini lililosanuliwa na sospeter alipobiwa na bwana Joseph!!!! Ninyi Magufuli was a thief
Makampuni ya nje yalikuwa yakitaka "access" ya soko la ndani na nishati ni moja ya masoko wanayotaka.Kalemani is out. soon nchi itaingia gizani kama ilivyokuwa enzi za JK. watoto wa mjini wamekamata nchi
Sukuma gang sio kabila.Mwanasheria mkuu wa serikali aliyeteuliwa si ni sukuma gang mwenzetu au?
Jiue nyau wewe, we ndio gaidi haswaaToa kafir weka gaidi
Makampuni ya nje yalikuwa yakitaka "access" ya soko la ndani na nishati ni moja ya masoko wanayotaka.
JPM alikataa hiyo kwa kutaka nchi ijitegemee kiakili na kiuchumi...
Sio kirahisi hivyo mkuu, nadhani yeye atakuja mbeleni sana huko(kama ataendelea kuwa hai). Mkuu kupitishwa kugombea Urais si kitu unachoweza kukitabiri kizembe hivyo, Miaka yote wagombea urais wa CCM huwa ni wale wasiotarajiwa kabisa, kuanzia kwa Mwinyi mpaka kwa Magufuli.
Sasa inaanza kukaa level...kama mada sio ya MMU, PHOTOS NA CHITCHAT n the like usiharakie kuchangiaWewe sindo ulikuwa unasema mama anaendeshwa ???
Bado Nape, naye akae mkao wa kula.. Muda wao huu sasa, kutesa kwa zamu.
Hii PDF inang'aa sana.Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo...