Nasema hivi Mkuu dhalimu mwendazake alikuwa mwizi mkubwa fisadi mkubwa na mbadhirifu mkubwa kupata kutokea nchi yetu. Watanzania wengi tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa KUMNYAKUA pia alitenda maovu mengine chungu nzima ya kutisha.
Wewe acha uongo kama hujui nyamaza. Mh. Mbarawa alishindwa ubunge Pemba mwaka 2015 Rais Magufuli akamteua kuwa Mbunge na pia akamteua kuwa Waziri wa Ujenzi au ulikuwa bado unanyonya maziwa ya mama yako mkuu?Mbarawa ndani ya Nyumba nilisikitika Sana mwendazake kumwacha huyu maana ni mchapakazi Sana Magufuli kusema kweli hakuipenda ZANZIBAR na alikuwa na UKABILA SANAA
Ni Wapumbavu Waandamizi kama Wewe.Elezea madhaifu yao ,
KhaaaaaaMkuu, we unaliwaza kabila lako tu??
Kila mtu akifanya hivyo tutafika?
Waislam nao watadai ni wachache. Acha hizo basi.
Mawasiliano ni mambo ya Muungano bwasheeMzee Mgaya hivi Mawasiliano ni jambo la muungano? Imekuaje makame akateuliwa?
Ni Kikwete wakati huo akiwa TCRAMagufuli huyohuyo ndio alimuibua huyo mbarawa.
Mkuu sa iv serikal inaongozwa kutokea sehem nyingne, watu Wana interest za 2025... Bt makamba hafai na haenei kabisa kwenye hicho kiti, ndo ujue Sasa where we are approaching...
Makame kaenda ujenziKazi iendelee.
Hivi mawasiliano ni jambo la muungano? Mbona Makame ameteuliwa kwenye wizara ambayo sio ya Muungano wakati yeye ni Mzanzibari?
Ama ndio zamu ya wazanzibari?
Mwenyezi Mungu hakumnyakua JPM, alimpokea tu bila taarifa.
Namaanisha kwenye uwaziri.Ni Kikwete wakati huo akiwa TCRA
Sio lazima iwe hivyoI think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Kama unanunua nguzo kwanini unapewa umeme?pengine uko sawa hebu nifahamishe kwa nini mteja ambaye zaidi ya kutumia umeme anunue nguzo ambayo mwisho wa siku ni mali ya tanesco ? jehilo linafanyika duniani kote au ni Tanzania tu
Hivi Ndugulile Ni msukuma chapa ng'ombe ?Msemo upi unakujia kichwani ukiitazama picha hii ?
1) uongozi ni koti la kuazima.
2) cheo ni dhamana.
3)
4)
Ongezea nyengine hapo chini View attachment 1935399
Ha ha haaa, unasemaje? Unamuongelea yule dhalimu mwendakuzimu aliyenyakuliwa na corona au mwingine? Huko jehanum aliko atakuwa anateseka kuliko mateso aliyokuwa akiyapata majukwaani kwa kupiga pushups huku moyo wake ukilalamika.Mwenyezi Mungu hakumnyakua JPM, alimpokea tu bila taarifa.
Kavae na wewe ule teuzi.Wavaa vi baibui nao wamoo kwa wingi
Sio KILA sehemu ni gender wanafeli sanaWanajeshi huwa ni wa kimfumo dume.....
we should tek that to the bank
Na wenyewe ndio sisíi
Huna lolote wewe ukabila ndio unaokusumbua.Sasa hapo ndpo tunaanza na tatzo, unafkr tulikuwa tayar kuongozwa na mwanamke?? Na Kama tulikuwa tayar Nan tulimwandaa kuwa?? uRais c bahati nasib mkuu.. unaona Sasa, hata ww unakil hatuko tayar Sasa Ni Lin tulisema tuko tayari??
Huyu mama tax mbona nae pia ni msukuma?Hivi Ndugulile Ni msukuma chapa ng'ombe ?