Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Nasema hivi Mkuu dhalimu mwendazake alikuwa mwizi mkubwa fisadi mkubwa na mbadhirifu mkubwa kupata kutokea nchi yetu. Watanzania wengi tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa KUMNYAKUA pia alitenda maovu mengine chungu nzima ya kutisha.

Mwenyezi Mungu hakumnyakua JPM, alimpokea tu bila taarifa.
 
Mbarawa ndani ya Nyumba nilisikitika Sana mwendazake kumwacha huyu maana ni mchapakazi Sana Magufuli kusema kweli hakuipenda ZANZIBAR na alikuwa na UKABILA SANAA
Wewe acha uongo kama hujui nyamaza. Mh. Mbarawa alishindwa ubunge Pemba mwaka 2015 Rais Magufuli akamteua kuwa Mbunge na pia akamteua kuwa Waziri wa Ujenzi au ulikuwa bado unanyonya maziwa ya mama yako mkuu?
 
TUNATEGEMEA UWEKEZAJI KIDIMBWI UTAONGEZEKA IKIWA PAMOJA NA KUPANUA ENEO
 
Unapowatendea binadamu wenzio maovu ya kutisha wengine hadi kufa kwa pressure, kuwabambikia kesi FAKE ili tu utumie madaraka yako vibaya na wengine kuwaua basi hawana la kufanya ila kumlilia Mwenyezi Mungu kwa namna zozote wazijuazo wao na matokeo ya kumlilia Mwenyezi Mungu wao ndiyo hayo Mkuu. Wazungu wanasema KARMA IS A BITCH or WHAT GOES AROUND COMES AROUND.
Mwenyezi Mungu hakumnyakua JPM, alimpokea tu bila taarifa.
 
I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Sio lazima iwe hivyo
 
pengine uko sawa hebu nifahamishe kwa nini mteja ambaye zaidi ya kutumia umeme anunue nguzo ambayo mwisho wa siku ni mali ya tanesco ? jehilo linafanyika duniani kote au ni Tanzania tu
Kama unanunua nguzo kwanini unapewa umeme?
Kumbuka ukiuziwa nguzo unatakiwa ubaki na nguzo yako kama unataka kujengea banda ukafanye hivyo.
Kwakifupi nguzo ni mojawapo ya vifaa pale umbali unapokuwa zaidi ya mita 30. Mbona husemi kuhusu waya and other accessories.
 
Mwenyezi Mungu hakumnyakua JPM, alimpokea tu bila taarifa.
Ha ha haaa, unasemaje? Unamuongelea yule dhalimu mwendakuzimu aliyenyakuliwa na corona au mwingine? Huko jehanum aliko atakuwa anateseka kuliko mateso aliyokuwa akiyapata majukwaani kwa kupiga pushups huku moyo wake ukilalamika.

Jamani tuache utani, iko siku tutadumisha kumbukumbu ya Watanzania wote waliopotea kwa maagizo yake, shetani wahed. Tutapiga hesabu ya hela zote ((kodi zetu) alizotafuna katika kipindi chake na hiyo namba si ajabu ikaamsha hata mizimu inakopumzika!
 
Na wenyewe ndio sisíi
giphy.gif

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hapo ndpo tunaanza na tatzo, unafkr tulikuwa tayar kuongozwa na mwanamke?? Na Kama tulikuwa tayar Nan tulimwandaa kuwa?? uRais c bahati nasib mkuu.. unaona Sasa, hata ww unakil hatuko tayar Sasa Ni Lin tulisema tuko tayari??
Huna lolote wewe ukabila ndio unaokusumbua.

Uzi wote umejaza vikomenti vyako uchwara kumtetea mwana chato mwenzio pumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom