Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Dada Doro kabaki, hakika mungu sio asumani
 
Haya maswali yako hayatabadili hicho nilichoandika.. Namfahamu mama Tax tangu miaka hiyo akiwa na gari yake aina ya TOYOTA ESTIMA iliyokuwa na usajili wa kama jina lake TAX....
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Sio kwa Tanzania ya sasa ambayo watu wengi wana uelewa na uwezo wa kufuatilia na kupambanua mambo. Mimi naamini Makamba kateuliwa kama njia ya kuifanya Tanzania itoboe kimaendeleo.
Kama mawazo yako yanakutuma hivyo umekosea sana hivyo vyeo vinaenda kiushikaji tu na ndio maana hakuna interview
 
Kwani wewe huna mzazi kwanini usiteuliwe wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi iendelee.

Hivi mawasiliano ni jambo la muungano? Mbona Makame ameteuliwa kwenye wizara ambayo sio ya Muungano wakati yeye ni Mzanzibari?

Ama ndio zamu ya wazanzibari?
Ni nani amekuambia katiba ni muhimu nchi hii? Kwani huyo ni kwanza hao wengine huwaoni?
 


Furaha yangu ya leo ipo ☝️ hapo mengine baadae

Love you mama la mama Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…