Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Ahaaa acheni vichekesho

Wewe unafahamu kazi ya Waziri wa ulinzi?

Unafahamu kazi za Jeshi?

Unafahamu muundo wa Jeshi letu?

Unafahamu exposure ya Dkt Tax

Mambo ya Jeshi ni siri, Kaa kimya

Jeshi sio siasa za majukwaani

Bunge haliruhusiwi kujadili mambo ya Jeshi yanaisha kwenye kamati
Haya maswali yako hayatabadili hicho nilichoandika.. Namfahamu mama Tax tangu miaka hiyo akiwa na gari yake aina ya TOYOTA ESTIMA iliyokuwa na usajili wa kama jina lake TAX....
 
HUYU MAMA NI MSOMI KIWANGO CHA LAMI, KESHAFANYA KAZI NA VIONGOZI WENGI WA NCHI JIRANI ZETU NA KWA KUWA HATUKO VITANI ATAWEZA KUWA ADMINISTRATOR NA COORDINATOR MZURI WA WIZARA HASA KWA SABABU CDF ALIYEKO ANAJITAMBUA NA YEYE NDIE MWENYE JESHI NA WANAJESHI KWA SASA. TUSIWE NA HOFU. MIMI NAMWAMINI.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Sio kwa Tanzania ya sasa ambayo watu wengi wana uelewa na uwezo wa kufuatilia na kupambanua mambo. Mimi naamini Makamba kateuliwa kama njia ya kuifanya Tanzania itoboe kimaendeleo.
Kama mawazo yako yanakutuma hivyo umekosea sana hivyo vyeo vinaenda kiushikaji tu na ndio maana hakuna interview
 
As long as Mwigulu bado yupo kwenye Baraza, naweza kusema hii haitoshi-alituambie tuhamie Burundi.

Halafu hawa kina Makamba ndio watu pekee wa kuwa Mawaziri? Ni kweli wanawazidi wenzao uwezo au ni influence tu za wazazi wao ndio zinawafanya wapate kipaumbele?

Kama si hivyo, basi ni wazi CCM kuna ombwe kubwa la watu wanaofaa kuwa viongozi katika hii nchi.

Watanzania tuendelee kudai Katiba mpya tupate watu wapya kuongoza hii nchi kwani hata hawa walioenguliwa bado kesho wanaweza kurudi tena katika Baraza la Mawaziri.

Chama kilekile, Watu walewale (wanaachiana tu viti) na matokeo yake maisha ya watanzania yanabaki kuwa yale yale miaka nenda, miaka rudi.

Pathetic!

Problems can not be solved by the same level of thinking that created them-Mchungaji Msigwa.
Kwani wewe huna mzazi kwanini usiteuliwe wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi iendelee.

Hivi mawasiliano ni jambo la muungano? Mbona Makame ameteuliwa kwenye wizara ambayo sio ya Muungano wakati yeye ni Mzanzibari?

Ama ndio zamu ya wazanzibari?
Ni nani amekuambia katiba ni muhimu nchi hii? Kwani huyo ni kwanza hao wengine huwaoni?
 



Furaha yangu ya leo ipo ☝️ hapo mengine baadae

Love you mama la mama Samia
 
Back
Top Bottom