Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Hata hivyo kajitahidi kuwaacha mawaziri,mimi ningewafyeka wote hadi Igp!πŸ‘πŸ’πŸ‘
 
Wewe unataka upuuzi wa TANESCO uendelee? Nilihonga hela nyingi sana kuletewa umeme home kwangu enzi hizo, kama kuna mabadiliko na yafanyike sasa
 
Cheo ni dhamana.
Tutende haki na tusijisahau kama kwamba tutakuwa na vyeo milele.
 
Sawa, Ndungulile tulimlaani.

Bado @Mwiguru Mwiguru nchemba naye ninamlaani.

Hii nchi ni ya hao hao kina januari tu akisema jakaya imepita, kwani ni lini watoto wetu wataonja keki ya taifa?

Mungu anawaona.
 
bahat ya wenzo silalie malango waz.
 
Japo alikuwa na mapungufu yake late Legendary Pombe alikuwa kiboko na alifaa kwa haya madudu yanayojirudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…