kamdudu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 2,007
- 1,931
😂😂😂 nina wasi wasi na kafara atakazohitaji sijui kama nitazimudu ...Mazinde mkuu nikupe mobile no?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 nina wasi wasi na kafara atakazohitaji sijui kama nitazimudu ...Mazinde mkuu nikupe mobile no?
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji91]Mungu yu mwema aisee ,Mama piga kazi ,uliona wapi tangia uhuru zaidi ya nusu ya baraza la mawaziri ni kabila moja ,tena mama naona kaamua kuwaacha tu wengine waendelee ,angesafisha wote ,hii nchi ni yetu wote ,Asante saaana Rais wetu mpendwa
Makamba huyuhuyu? Aisee hii nchi kuja kuendelea ni ngumu sanaMakamba big YES!
Aisee . . Sukuma Gang chaliKatika vitu Sukuma gang walikosea ni ishu ya Lodilofa wakadhani wako stronger enough kusimama wenyewe….
Soon Membe anarudi mjini ndipo watajua hawajui…
Then nimenusa nusa mahali ule utatu mtakatifu umeinuka tena… wameamua kusameheana!!
Very trueMakamba huyuhuyu? Aisee hii nchi kuja kuendelea ni ngumu sana
Makamba ni one of the worst MP's
Kwa sababu gani?Na January ndo anaenda kupazika kabisa
Medadi alikuwa na maneno makamu sana ila wafanyakazi walimuangushaNgoja tuone huyu atafanya Nini ambalo Medard hakulifanya
Hahahahaha . . . Nchi ya TozoMwigulu hatatolewa
Usidhani Samia hapendi hizi tozo za Mwigulu,
tozo ndio zinanunua haya ma VX V8 na kuyajaza diesel kuzunguka nchi kula bata na lile li dege la kijeshi alilotua nalo Dodoma juzi…. Ni tozo zile !
Kama unadhani mambo huwa ni mepesi kiasi hicho kwenye mbio za Urais, muulize Lowassa.
Ni kweli kabisa. 2025 game inaendeleaHizi teuzi wala sio utendaji mzee! Watu wapo focused na game ya ishirini ishirini na tano.
Next two reshuffles Mwingulu will be outYellow light is the warning sign
May be ! Ex-speech writer wa JK yawezekana Mkwere anamuandaa na PM awe Ridhwani! Si nchi mali yao bhana!
Ni kweli. Lakini kwa kinachoendelea ni siasa za 2025Umeelewa nilichoandika hapo
Besides hakuna anaejua who will be the next president
Hata wewe unaweza kuwa
Sisi yetu machoNext two reshuffles Mwingulu will be out
His days are counting
Makamba nikati ya vijana makini kidogo ccm imebaki nao,achana na wakina MwiguluRais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo
- Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa
- Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile ambae uteuzi wake umetenguliwa
- January Makamba anachukua nafasi ya Merdard Kalemani wizara ya Nishati
- Makame Mbarawa anachukua nafasi ya Chamuriho wizara ya ujenzi na uchukuzi
- Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Kilangi kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali
Makamba mwizi na mbabaishaji tu.Makamba nikati ya vijana makini kidogo ccm imebaki nao,achana na wakina Mwigulu