Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi ufutwe umekaa kichonganishi sana,tafadhali nchi yetu msituletee mambo ya ukanda nchi hii ni yetu sote
Imeuzwaje?Ndio kinachotokea nchi yetu imeshauzwa
Bila kumtoa yule mpuuzi mvaa mabendera bado hakuna kilichofanyika
Naomba kujuzwa tu kwani Dr.Faustine Ndugulile kakosea wapi? Pengine mimi sijui Naomba munijuze wana JF, nawasilishaAs long as Mwigulu bado yupo kwenye Baraza, naweza kusema hii haitoshi-alituambie tuhamie Burundi.
Halafu hawa kina Makamba ndio watu pekee wa kuwa Mawaziri? Ni kweli wanawazidi wenzao uwezo au ni influence tu za wazazi wao ndio zinawafanya wapate kipaumbele?
Kama si hivyo, basi ni wazi CCM kuna ombwe kubwa la watu wanaofaa kuwa viongozi katika hii nchi.
Watanzania tuendelee kudai Katiba mpya tupate watu wapya kuongoza hii nchi kwani hata hawa walioenguliwa bado kesho wanaweza kurudi tena katika Baraza la Mawaziri.
Chama kilekile, Watu walewale (wanaachiana tu viti) na matokeo yake maisha ya watanzania yanabaki kuwa yale yale miaka nenda, miaka rudi.
Pathetic!
Problems can not be solved by the same level of thinking that created them-Mchungaji Msigwa.
Mshana ishu so coastal Union tatizo Pamba ya kule kwa wasukuma walileta ushamba wakadhani wanaweza sana mchezo Kumbe master wapo
Nilikuwa nakuona una akili kumbe ni mshamba kiasi hiki? Acha ukabila na ukanda
Umejambiwa ushuzi usoniAlikuwa anatuibia eti ni kuamua
Tatizo lenu akili zero...hapa afadhali mngekaa kimya tu mfiche ujuha wenu.Wewe sindo ulikuwa unasema mama anaendeshwa ???
Watanzania wote ni kitu kimoja. Tusikuze ukabila, ukanda wala udini. Kiongozi mkuu tunakuomba uzidi kuwa conscious. Corrections unazofanya awamu ya 6 ni kwa sababu awamu ya 5 ama kwa makusudi au bahati mbaya haikujali hatari katika mambo haya. Lakini muhimu zaidi, tukubali katiba ya Warioba ifanyiwe kazi na kuzaa katiba mpya yetu sote kungali na amani Tanzania. Wah.Waryoba, Polepole, Kabudi na HE Samia hawakuwa wapinzani walipoipokea katiba ya wananchi kwa sherehe. Wako wanaotaka watu tuamini dai la Katiba mpya ni la upinzani. Mnawapa sifa wao peke yao kimakosa. Ni sifa ya watanzania wote. Vinginevyo tukubali "UNAFIKI" uwe tunu mpya ya Taifa letu. Turuhusu wapinzani kwenye bunge letu ili liwe bunge hasa sio hili la sasa la hovyo kabisa. Anaeshinda kihalali ndiye watanzania wanaemtaka. Hapo tutakuwa "level" automatically.
Chuki za waziwazi... mlaumu BABAKO kwa kukufanya kuwa mtoto wa mitaani. Acha chukiYule dogo anabebwa na influence ya wazazi tu,kichwani hamna kitu.
Kivipi mkuu?Huyu jamaa anamhujum sana hangaya...
We subiriHuoni wamemutoa na kuweka dada kibajaji
Raha ya Kikoba upate mashosti. 😎
Mkuu seems like uko na stress za maisha, Go an' get some drinks....General, ulimwengu alisema Kuna uwezekano Yale ya guinea yanafika EA, ukwel mama anaupinga mwingiiiiiiiiii...
Ifike mahali nafasi hizi zisiwe za kisiasa. Waziri atoke kwenye poll ya wataalamu nasio wanasiasa(wabunge).I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Mwigulu hatatolewaMwigulu na Dotto mkae mkao wa kunyolewa.