Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahaini awaguswi jomba huyo na mkuu wa majeshi licha ya kuonekana ni team magufuli awaguswi ni team wahainiView attachment 1935277Huyu yeye lini?
Mbona hukuhoji wakati Magufuli alipomteua kuwa Waziri wa ujenzi na baadae maji?Kazi iendelee.
Hivi mawasiliano ni jambo la muungano? Mbona Makame ameteuliwa kwenye wizara ambayo sio ya Muungano wakati yeye ni Mzanzibari?
Ama ndio zamu ya wazanzibari?
Ishu ya Kalemani sio siasa chafu, aliharibu sana kwenye utendaji wake wizarani. Alikorofishana na sekta binafsi zinazozalisha umeme kwenye mini grids, baada ya kuwataka wawe wanatoza sh 100 kwa Kwh moja. Majadiliano nay hayakuzaa matunda. Wadau hao wakapeleka madai yao kwa PM, still Kalemani akakomaza shingo. Matokeo yake serikali ya Sweden ambao ndio wafadhili wa miradi mingi ya umeme wakatishia kusitisha mchango wao ktk sekta hiyo, unless serikali ikae na wadau wa umeme na kuweka mambo sawa.Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.
Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Huo mradi walikuwa wanaupinga mafisadi walio uza gesi yetu kihuni kwa maslai ya mabeberu hivyo wamiliki wa gesi na team yao ndiyo wanachukia ilo bwawa la umeme sana wanatamani hata waweke bomu walilipue maana watu watakuwa wanapikia umeme badala ya gesi na biashara ya umeme wa gesi itakuwa imekufa au kupunguaHana ubavu wa kupinga. Anaenda kuutekeleza kwa kasi. Mpe mchawi mtoto alee. Mahesabu mazuri.
Ursula von der Leyen ambaye ni Rais wa Umoja wa Ulaya alidumu kama Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani kabla ya nafasi ya sasaHivi Kuliwahi kuwa na Waziri Wa Ulinzi Mwanamke Duniani? Nikumbushe Mtani Mshana
Hapana hajakurupuka. Ungemuuliza swali kuwa nani aliwahi kumsikia akiongea maneno haya kwa mara ya kwanza, angekutajia jina la mtu huyu huyu aliyemtaja hapa na angekuwa yuko sahihi 100%.Kakurupuka Hawa wanasiasa ni plagiarist walkutosha
Magufuli bado anawatandika hata baada ya kufa!Wahaini awaguswi jomba huyo na mkuu wa majeshi licha ya kuonekana ni team magufuli awaguswi ni team wahaini
Hv inawezekana waziri akachukua maamuzi mazito kama hayo bila ya kumhusisha Raisi au Baraza la mawaziri? Mh kama ndio hvyo kunamambo mengi sana yakuendelea kurekebisha katika hii nchi.Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.
Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Huyo January mnamuona malaika? watz kumbukumbu hakuna.Mheshimiwa January Yusuf Makamba, hongera sana kwa kuteuliwa kuwa waziri,wizara ya Nishati.
Wizara ya Nishati Ina changamoto nyingi sana ambazo zinatugusa sisi wanyonge.
Shirika la umeme (TANESCO) ni kero.
a).Tunaomba umalize changamoto ya nguzo za umeme na mita kwa wateja wa REA,
b). kanda ya Chanika-wateja wamefanyiwa survey zaidi ya miezi sita, lakini hawajapata huduma kwa ukosefu wa nguzo, nyaya na mita.
c).Lakini ukienda vituo vingine vya Tanesco Kama Buza,unakuta nguzo zimelundikana .
Ushauri:
1). Mheshimiwa Waziri,Shirika ni moja kwa hiyo ni busara wakachangia rasimali
2). Mheshimiwa Waziri kuanzia July 2021 serikali imeanza kukusanywa kodi ya majengo kupitia Luku,ni vema TANESCO wakaharakisha kuweka umeme,ili kuongeza wigo wa walipa Kodi.
3). TANESCO,wawe wanapeleka, Nguzo nyingi kwenye miradi mpya (badala ya kupeleka maeneo yenye umeme (kusubiri matukio ya dharura).
4). Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO aongeze rasilimali Kituo Cha TANESCO Chanika chenye wateja wengi Sana katika jiji la Ilala( mafundi,vitendea kazi).
4). Mheshimiwa Waziri,kuna fomu nyingi za maombi ya umeme , kwenye vituo mbalimbali vya TANESCO,lakini hazijafanyiwa kazi,
5).kwa mfano Kuna wateja walichukua fomu za maombi ya umeme kisarawe May 2020 ,lakini hawakupata huduma,mpaka mwezi May 2021 zile fomu zilipohamishiwa kituo kipya Cha Chanika, lakini mpaka hivi leo bado hawajapata huduma za umeme.(ingia kwenye Data base ya TANESCO,angalia pending applications,utapata majibu).
6). Mheshimiwa Waziri,watendaji wa TANESCO ,wajitafakari,wana majibu yanayo kera na hawana customer care,wwnaharibu taswira(image) ya taasisi mbele ya wateja wao
Basi tu mimi nina hasira zangu za Yanga kufungwa hata sijui😂😂😂Kwa sababu gani?
Kenya imekuwa an Mawaziri wa Ulinzi wanawake kwa mwaka wa 10 sasa.Ursula von der Leyen ambaye ni Rais wa Umoja wa Ulaya alidumu kama Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani kabla ya nafasi ya sasa
Sio wasukuma wa ndani kabisa,Stegomena sio Msukuma,Mama yake ndo Msukuma,baba yake alikuwa mjerumaniKwa hiyo Feleshi na Stegomena Tax sio wasukuma? Jipange sana sukuma gang sio kabila! Sema anatoa sukuma gang! Wasukuma hawezi kuwatoa! Kaingiza wawili!
Hata January😂😂😂😂Hongera kwa Mh Raisi kwa kuwateua Watu makini,
Raisi kwa tizamo wangu anafanya kazi kwa ukaribu sana na vyombo vingine katika kufanya teuzi,ndio maana kila anayemuweka ni mzuri na anafit vema katika nafasi yake.La kujifunza ni kutokua na kiburi ukiwa kwenye madaraka,kuwahudumia Watanzania kwa nguvu na maarifa ya hali ya juu.
Kwahiyo Feleshi sio msukuma? Msukuma wa ndani ndo nini? Stegomena Tax hata kama baba mjerumani si mzazi wake mmoja ni msukuma! Sasa hapo unaongea nini? Tatizo lako unafikiri wasukuma wanatolewa kumbe wanatoka na kuingia! Acha chuki wasukuma hawaepukiki!Sio wasukuma wa ndani kabisa,Stegomena sio Msukuma,Mama yake ndo Msukuma,baba yake
Biashara ya kuzalisha umeme na kuiuzia Tanesco haiko feasible kwa miaka 10 ijayo kama kasi ya kuendeleza vyanzo vya uzalishaji umeme wa maji katika nchi yetu utaendelea kama ulivyo pangwa ( National Energy master plan 2015 to 2025,).Ishu ya Kalemani sio siasa chafu, aliharibu sana kwenye utendaji wake wizarani. Alikorofishana na sekta binafsi zinazozalisha umeme kwenye mini grids, baada ya kuwataka wawe wanatoza sh 100 kwa Kwh moja. Majadiliano nay hayakuzaa matunda. Wadau hao wakapeleka madai yao kwa PM, still Kalemani akakomaza shingo. Matokeo yake serikali ya Sweden ambao ndio wafadhili wa miradi mingi ya umeme wakatishia kusitisha mchango wao ktk sekta hiyo, unless serikali ikae na wadau wa umeme na kuweka mambo sawa.
Ninahoongelea ni mini grids (sio main grid). Hizi zipo zaidi ya 100 kwa hapa nchini, za solar, za hydropower, za dizeli na za mchanganyiko (hybrid). Hizi zinasaiia kuleta umeme maeneo ambayo umeme wa gridi haujafika, na zinasaidia sana. Kwa walio mijini ni ngumu sana kuelewa naongelea nini.Biashara ya kuzalisha umeme na kuuzia Tanesco haiko feasible kwa miaka 10 ijayo kama kasi ya kuendeleza vyanzo vya uzalishaji umeme wa maji katika nchi yetu utaendelea kama ulivyo pangwa ( National Energy master plan 2015 to 2025,).
Na hapa ndio tutapata taabu sana sana na makampuni binafsi ya nchi za magharibi.