Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
inafurahisha kuona sukuma gang inafutika kwenye uso huu taratiibu, mazo ya jiwe la chato lazima yafutwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inafurahisha kuona sukuma gang inafutika kwenye uso huu taratiibu, mazo ya jiwe la chato lazima yafutwe
Jidanganye wa mwanza wako wawili hapo Feleshi na Tax!inafurahisha kuona sukuma gang inafutika kwenye uso huu taratiibu, mazo ya jiwe la chato lazima yafutwe
Mchezo gani ndugu?Nilijua kwa Kalemani. Huo mchezo wao walioufanya umemkost. Bado Majaliwa maana nae ana mkono katika hili
IpiHuyo January mnamuona malaika? watz kumbukumbu hakuna.
Hujaelewa, tatizo hapa ilikuwa wale sukuma gang walioteuliwa na jiwe, Samia akiteua walau tunaweza kusema ameangalia vitu vingine zaidi ya tribleJidanganye wa mwanza wako wawili hapo Feleshi na Tax!
Unafiki tu! Fanya mambo yako!Hujaelewa, tatizo hapa ilikuwa wale sukuma gang walioteuliwa na jiwe, Samia akiteua walau tunaweza kusema ameangalia vitu vingine zaidi ya trible
Sio tu ulinzi mkuu,nishati hakuna kitu hapo!!,sema tumeshazoea na Tanganyika yetu,hatua 3 mbele ,mia ishirini nyuma.Ulinzi kachemsha
Wananchi wa tanzania ni kama robots. Hawaelewi hata kinachoendelea. Hii serikali inaweza kua inaongozwa na mabeberu, hakuna cha chadema wala team msoga. Wala team mwendazake.Bado unaota team mwenda zake tu?
Si jana na juzi mnajadili hapa kwamba genge lake limemteka Samia
Kwa hiyo wewe hapa msimamo wako ni upi?Viroja hivi!!!! Mbona hukuwahi kuhoji teuzi za dhalimu mwendazake? Na hizi teuzi za leo zimefanywa na Chifu Hang ya au lile kundi la wahuni alilolisema Chakubanga?
Jidanganye wa mwanza wako wawili hapo Feleshi na Tax!
Najua ni mwizi that's kipindi yupo ikulu, alikua anatoza WATU pesa kumuona Rais, na Ndo maana nikasema ,angalau KIDOGO, Kuna vijana ccm wamebaki nao Mkuu,Makamba mwizi na mbabaishaji tu.
Ni wa mwanza - maguSidhani kama Tax anatoka Mwanza, nacho kumbuka Mama yake alitokea sehemu za Kagera na baba mjerumani......i stand to be corrected...
Kuwa na akili mbna Kuna Ndugu zake kibao Pale Psu na Sehemu kibao Tu. Hata mkuu Wa Psu alikuwaga ofisi ya Spika. Kajaza Mandugu kibaoHujaelewa, tatizo hapa ilikuwa wale sukuma gang walioteuliwa na jiwe, Samia akiteua walau tunaweza kusema ameangalia vitu vingine zaidi ya trible
Hivyi wanaweza badiliWaganga wa kienyeji fursa imewajia ghafla maana sasa hivi wale wanaojihisi panga linawafuata lazima wakimbizane huko kwa masangoma.