Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Bado unaota team mwenda zake tu?

Si jana na juzi mnajadili hapa kwamba genge lake limemteka Samia
Wananchi wa tanzania ni kama robots. Hawaelewi hata kinachoendelea. Hii serikali inaweza kua inaongozwa na mabeberu, hakuna cha chadema wala team msoga. Wala team mwendazake.
 
Viroja hivi!!!! Mbona hukuwahi kuhoji teuzi za dhalimu mwendazake? Na hizi teuzi za leo zimefanywa na Chifu Hang ya au lile kundi la wahuni alilolisema Chakubanga?
Kwa hiyo wewe hapa msimamo wako ni upi?

[emoji23][emoji23][emoji23]Machadema mnajitahidi kumuunga mkono HANGAYA ili kumkomoa marehemu magu, ila hapo hapo mnajikuta tena mnamchukia maana kawapiga mikodi na kamfunga gaidi wenu!

Yani mnapata tabu kweli.
 
Waganga wa kienyeji fursa imewajia ghafla maana sasa hivi wale wanaojihisi panga linawafuata lazima wakimbizane huko kwa masangoma.
 
Hujaelewa, tatizo hapa ilikuwa wale sukuma gang walioteuliwa na jiwe, Samia akiteua walau tunaweza kusema ameangalia vitu vingine zaidi ya trible
Kuwa na akili mbna Kuna Ndugu zake kibao Pale Psu na Sehemu kibao Tu. Hata mkuu Wa Psu alikuwaga ofisi ya Spika. Kajaza Mandugu kibao
 
Wakongwe wa JF wanajua tunapoelekea sasa. Bwawa la Nyerere lilipigwa vita sana, hizi mambo zote zitafumuliwa kidogo kidogo. Tuendelee na mtori wetu nyama ziko chini [emoji42]
 
Back
Top Bottom