Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Huyo mtu wa Mbeya huko kabisa, bora hata mwinyi kuna kaukaribu na huko tokea kwa mzee wake, huyo vipi??Raisi Mwinyi wa Zanzibar kabla uraisi huko alikuwa mbunge Tanzania bara unashangaa nini?
Uko wapi Comrade! Zamani Zanzibar ilikuwa ni koloni la Tanganyika! Ila katika hali ya kushangaza, kuanzia mwaka 2021! Tanganyika ndiyo imegeuka kuwa koloni la Zanzibar.Mm sijaelewa naomba msaada hivi inakuwa mzanzibari toka ZRA kwenda TRA kwa hizo ni tasisi za Muungano.?
Sababu zako zoote nimekataa isipokuwa hiyo namba 3 naweza kuikubaliWatu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
Bara ni shamba la bibiWatu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
Ulitaka aletwe huyu?Watu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
Unajua ulichokiandika??? Shida mnaendekeza sana chuki hadi mnakua wapumbavuWatu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
…hata angekuwa ni Mzanzibar, maana halisi ya “Mambo yasiyo ya muungano” ni sawa na kusema “Mambo ambayo hayatawahusu wabara”, yaani kutakuwa na mambo yatakayowahusu wote, na kutakuwa na mambo ya “Wazanzibar pekee”. Kwa sababu ya Utanzania wake, Mzanzibar anaingia kila ambapo kuna mambo yanayowahusu wote. Changu changu, chako chetu.Akili ndogo, gen z wa Tanzania hamna akili, Yusuf Juma Mwenda ni mbongo na alishagombea ubunge kawe akapigwa chini 2020, kabla ya hapo alishawahi kuwa diwani na meya wa hukuhuku Tanganyika so jifunze kabla hujaropoka ujue historia ya mtu. Makalio yako.
Ukiona anaambiwa umeamishwa kuwa utaenda ikulu kuwa mshauri wa Rais ujue huyo ni mtu smart sema amekuwa suspended kiuprofesa ili kulinda hadhi yakeHivi Lukuvi na KalaMaganda bado ni washauri huko huko?
Hiyo Ikulu imejaa washauri!
Utavamiwa na Wazenji mpaka utakoma!!Watu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?