Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

Siku watanganyika tutakapo amka tutakuta tanganyika ni colony la zanzibar.
 
Kaka nikuelimishe kidogo Yusuph Mwenda alikuwa hapo kariakoo kwa maana ya ilala na baadae makao makuu kwa baadae aligombea udiwani mikocheni na akawa meya wa kinondoni 2010 to 2015 na akagombea ubunge kawe alipo shindwa alirudi TRA na baadae ya mwinyi kushinda urasisi 2020 alimteua kwenda Zanzibar kwenda kuweka sawa na sasa amerudishwa huku bara
 
what ambacho haujui ni kwamba huyo mtu ameshafanya kazi TRA muda tu na alitoka bara kwenda ZRA na nahis ameshawah kuwa meya hapo DSM

next time do your research
Meya Tena kwenye utendaji wa TRA!?
 
Huu uzi na baadhi ya wachangiaji umeonesha kwa kiasi gani kundi kubwa la watu nchi hii ni wajinga kwa kukurupuka na kushindwa kutambua hata huyo aliyeteuliwa ni mtanzania kutoka upande wa bara lakini aliteuliwa kwenda kufanya kazi ya mapato kisiwani na kwa sasa amerudi kuongoza Tanzania bara.
 
Huko kwenye umeya alifanya Nini kikubwa Jiji Bado lipo Squatters, iweje aaminiwe Tena Kwenye utendaji aliokuwa ameukimbia na kuona siasa inalipa!?
 
Acheni upotoshaji Yusuph Mwenda ni Mtanganyika ametokea huku kwenda kufanya kazi kule na sasa amerudi acheni kupotosha kenge nyie.
 
Tunajadili uwezo Wake wa kumudu majukumu
 
Bara ni shamba la bibi
Yusuf Juma Mwenda Mwaipopo,mnyakyusa wa Kyela kijiji cha Tenende ni mtu mwadilifu na hana makuu!
Ni kijana mchapa kazi na mara nyingi akija kijiweni hapa Kasyungutini Tenende Kyela vijijini tunakaa kijiweni tunapata kahawa kidogo pamoja!
Mama yake tumezika hapa kijijini mwaka juzi,ni kijana wetu
 
Nafikiri ungefanya kwanza tafiti kabla ya kuja na hoja hii

Yusuph Mwenda ni mtumishi ambaye alishakuwa TRA kwa muda idara ya kodi za ndani wenyewe wanaita drd na walipakodi wakubwa. Raisi wa Zanzibar Hussein Mwinyi alimteua kuwa Kamishna wa ZRA kwa kuona utendaji wake na kujua atamsaidia sana katika kuisogeza Zanzibar kimapato na ukizingaztia ni upande wa Tanzania. Baada ya aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Alhpayo Kidata kupigwa fitina nyingi kwa takribani wiki kadhaa na kuonekana kama chanzo cha migomo nachokiona imetumika busara kumuondoa na kutafuta mbadala wake. Mwenda inaonekana baada na yeye kuonyesha uwezo mkubwa kama Kidata ndiyo kaletwa sasa kumsaidia Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuweza kuendeleza pale ambapo kidata amefikisha kwa kukusanya Mapato na kuvuka malengo. Hakuna cha sababu hata Moja hapo yenye ukweli

Mwenda ni Mtanzania tena wa Bara
Mwenda aliwahi fanya kazi TRA
Mwenda kafanya makubwa Zanzibar na ndicho kinachoonekana kuaminiwa tena TRA
Mwenda umri bado ni kijana
 
Utavamiwa na Wazenji mpaka utakoma!!

Wamejaa humu wanasubiri kazi za TRA halafu unataka kutia mchanga kitumbua!?
Yusuf Juma Mwenda Mwaipopo, Mnyakyusa wa Kyela kijiji cha Tenende ni mtu mwadilifu na hana makuu!
Ni kijana mchapa kazi na mara nyingi akija kijiweni hapa Kasyungutini Tenende Kyela vijijini tunakaa kijiweni tunapata kahawa kidogo pamoja!
Mama yake tumezika hapa kijijini mwaka juzi,ni kijana wetu.

Hii ni kwa mujibu wa Malafyale. Member mbobezi wa jamii forums
 
Umechanganya siyo huyo babaa
 
Huyo Kijaji angepiga chini tu kabisa, inamaana huko bungeni hakuna wakina mama wachapa kazi zaidi yake?
 
Mkuu lipa kodi acha visingizio- ana divert pesa vipi?
 
Tukisema hii katiba Ina matege akina mwigulu wana kata mayenu na kuvaa bendera tu
Hali ni mbaya

Hata Yale makusanyo ya tril 2 kwa mwezi yanaenda kipotea

nani anamshaurii samia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…