Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara


sasa amtoe mwenzake kati ya yeye na mwigulu?
 
Kamishna Mkuu Anatoka Zanzibar kamishina wa customs Anatoka Zanzibar pia
 
I was expecting this ,and I was optimistic about this judgement

Also Ashatu kijaji need to be out of cabinet, she isn't creative.
 
Tumechoka na hizi teuzi za mjambiani wa mchambawima.kila siku teua na tengua na matokeo yake inakuwa zero.uchumi umeporomoka Kwa kasi na tumerudi nyuma kimaendeleo miaka 30
 
Kamishna wa customs Nae ametoka Zanzibar 😂
 
Sio mzanzibar huyo acheni upuuzi nyie vijana ambao mnaandika kwa kukurupuka huyo jamaa si alishawai kuwa meya kinondoni. Huyo jamaa anakaa makumbusho na kashawai gombea na gwajima kura za maoni kawe wakshindwa wote na yule kijana
 
Sasa tunafanyaje kama watanganyika? Nini maoni yako?
 
Sio mzanzibar huyo acheni upuuzi nyie vijana ambao mnaandika kwa kukurupuka huyo jamaa si alishawai kuwa meya kinondoni. Huyo jamaa anakaa makumbusho na kashawai gombea na gwajima kura za maoni kawe wakshindwa wote na yule kijana
Kuwa meya wa Kinondoni na kugombea na Gwajima inaruhusiwa kwa mzanzibari. Kwahiyo hoja yako ni matope
 
Hivi kuna watu mnajielewa kweli? Nani alikwambia TRA wanamiliki akauti ya makusanyo kiasi wawe na uwezo wa kuchota pesa? Halafu aunajua Mwenda anatokea wapi?
 
Swali: Kamishna wa Mapato Zanzibar anateuliwa na nani, sifahamu kabla sijatoa comment yangu. Nafasi yake ataijaza Rais Samia?
 
Mna uhakika mama yupo humu jamiiforum?
Mbona mpaka sasa Lucas wangu hajatajwa🤔
Wanachagua walau walau waliofika hata chuo na mzazi mmojawapo awe ni kwenye "chain" ya kulindana na madili.

Huyo Lucas ni vuvuzela la MEMKWA na hana "chain" yotote so ataishia kukimbiza upepo na kuwasafishia wengine njia huku akiambulia buku 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…