Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

Kwa hiyo Kamishna wa ZRA ametenguliwa na kuteuliwa kuwa Kamishna wa TRA!
 
Huyu bibi ni WA kufukuzwa magogoni kama Ruto anavyofukuzwa.
Kila siku kuchukua mtu huku na kumpeleka huku. Hakuna watu wapya
 
Sio kweli mkuu, jamaa alishawahi kuwa meya wa Kinondoni ni mbongo kabisa mkuu
 
Ndo nakuuliza huyo Mwenda (aliyeteuliwa) sio Mwenda jina anatokea wapi?
Anatokea Zanzibar. Kwasabb kwa shèria za Zanzibar hairuhusiwi mtanganyika kufanya kazi Zanzibar.

Kama unakumbuka hata Charles Hilary afisa mawasiliano ikulu alikiri kuwa mzazi wake mmoja ni mzanzibari ndiyo maana kateuliwa.
 
Kalagabaho. Endelea kukariri tu
 
Kidata amerudishwa ikulu kusoma magazeti ishu yakariakoo imempasukia

USSR

Kariakoo si issue iliyomuondoa. Mambo ya Kariakoo mbona yashazoeleka?

Issue iliyomuondoa ni barua ya mabalozi wakilalamikia kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…