Bajeti si utasoma report ya cag ww kijana punguzwa nongwa kwa hiyo unataka miprofesa hii ilipwe pesa ndogo? Ni lazima wale mabilion elimu yao sio ya serikaliFursa zaidi zimetolewa kwa waliokuwa na fursa tayari.
Teuzi tunaambiwa ila budget ya hiyo tume ni siri. Ila ikija kujulikana utasikia mabilioni.
Maboresho gani yamefanyika mkuu? Unaongeza kitu kisicho kuwepo? Hivi inahitaji tume kujua kodi hizi zinahitajika au lah?ππππππKwa dhati ya moyo wangu
Nakushukuru kwa kauli zako,Matamanio,uthubutu,nia,sababu na uthubutu wa kufanya mapitio,maboresho,yamkini uundaji upya wa mfumo,taasisi na sheria za kodi.
Hili ni chachu kubwa ktk mapinduzi ya uwekezaji,biashara na ujasiliamali ktk nchi yetu.
Kila jema lina gharama ila faida ni kubwa kuliko hasara.
Waanze na PAYE kwa watumishi, ni kandamizi sanaaa hii na inawaumiza mno mno na Mungu analiona hiliSera za Kodi zinatakiwa ziangalie pia Mazingira salama kiafya ya kuhojiana maswala ya Kodi na Ulipaji
Yaani Mfumo wa Customer care uwe kiafya zaidi Ili walipakodi wanawiri
Janabi anajua mambo mengi
Mlale Unono π
Hakuna nia wala dhamira kurekebisha mapungufu ya kikodi yaliyopo..tume haki jinai ilichukua zaidi ya mwaka kutoa ripoti..toka mapokezi ya ripoti na kamati ile ile akiwemo sefue kufanya ufuatiliaji wa mapendekezo..kuna kitu kimebadilika??hawa wazee ndio waliotufikisha hapa wakiwa vijana, sasa wanatembelea mikongojo watatushauri nn? hivi kweli tumeshindwa kuwaomba WB watufanyie hii analysis kweli? hivi hatuna wachumi kwenye balozi zetu wakatuambia wenzetu wanafanyaje kweli? mbona ali hassan mwinyi aliwatumia akina Hassan Diria kutoka ujerumani, Nyerere alimtumia Amir Jamal kutoka canada. tumeshinwa kweli kuwatumia akina Mariam Salim kweli, hadi utuletee hivi vibabu
Ilikua jambo la muda tuHatimaye Assad kakumbukwa
Umeshapanic πππ₯Linapokuja swala la kuandika upuuzi nobody matches you.
watembelee kujifunza kutoka nchi zenye mafanikio upande wa kodi ie Mauritius,SingaporeGood move, ngoja tuone, lakini ningeshauri expert walau wawili toka UK wahusike hapa!, nawashauri mfumo wa cashless upewe kipaumbele kikubwa, kwani hili ni kama chujio la kila coins!