Uteuzi June 22, 2024: Rais samia ameteua na kutengua viongozi mbalimbali

Uteuzi June 22, 2024: Rais samia ameteua na kutengua viongozi mbalimbali

Teuzi Za Rais Samia dhidi ya MAAFISA wa ikulu zina maana Gani?
Je ikulu yake yanuka au yanukia?je ya moto au ya baridi?

Je watumishi wa ikulu wote ni exceptional lazima wateuliwe nyadhifa mbalimbali hata kama wananuka?
Je yawezekana wananuka ila kwa kuwa wamekaa karibu na waridi ndo wanalipwa fadhira?

Nafanyaje nipate nafasi ya kuwa ikulu?

Je watumishi wa ikulu wote wanapatikanaje?je wakitolewa wote wanao kuja wanatoka wapi?
Je ikulu ITATANGAZWA nafasi za kazi?
 
Ofisa mwandamizi ofisi ya rais ikulu hao siyo watu wa usalama?

Nimejaribu kuuliza hao watu kazi zao huko ikulu. Maana wamehamishwa lakini hakuna tangazo la kuwa replace kama ambavyo hutangazwa kwa nafasi iliyoachwa wazi na hao maafisa waandamizi.

Mwandamizi (kutoka kitenzi kuandama) ni afisaambaye ana cheo cha juu katika ngazi fulani za utumishi, hasa wa serikali, au anayefuatia katika ngazi za uongozi na amayejiandaa kushika cheo hicho, k.mf. askofu mwandamizi.

 
Huyu bibi amepoteza kumbu kumbu,anateua hata marehemu.

Inawezekana hata hajui kama anahamisha watumishi ikulu.
 
Wengi ni watu wa usalama .. wataletwa wapya kutoka kitengo
 
Back
Top Bottom