Uteuzi June 22, 2024: Rais samia ameteua na kutengua viongozi mbalimbali

Uteuzi June 22, 2024: Rais samia ameteua na kutengua viongozi mbalimbali

Nasikitika mayalla,na Lukas mwashamba hawateuliwi
Mwashambwa hana Qualification wala meritocracy. Aendee kuwa chawa wa JF kwa Samia.
Nilimwambia Mwashambwa Big Chawa Akasome, aache haya mambo mama kaweza mama katimiza, nani kama mama , rais wetu mpendwa etc maneno Kama hayo yanasababisha ukoko kwenye akili yake
 
Mwashambwa hana Qualification wala meritocracy. Aendee kuwa chawa wa JF kwa Samia.
Nilimwambia Mwashambwa Big Chawa Akasome, aache haya mambo mama kaweza mama katimiza, nani kama mama , rais wetu mpendwa etc maneno Kama hayo yanasababisha ukoko kwenye akili yake
Ila kweli... Bila shule ni upotezaji wa muda 😂👍

Uwe chawa na shule ipo.... Muda wowote we mchekea.
 
Wenye D moja hawawezi kung'amua hizi mbinu ila walioisoma Cuba hili ni rahisi Sana kwao. Hao maafisa waandamizi ni wabobevu wa mbinu chafu hasa kwenye mechi ngumu. Wameshaisoma michezo ijayo na wameona kabisa wanakwenda kupoteza mechi mapema asubuhi.
Kinachofanyika ni kuwa, wanapelekwa maendeleo Fulani ili wakawe wakufunzi wa waliopo saiti ili kuwajengea uwezo wa kuhujumu mchezo na kujipa ushindi.
Mama alishang'amua kuwa akizubaa anaingizwa chaka. Mitano Tena kwake tafadhali!
 
Hivi hao “maafisa waandamizi ofisi ya rais ikulu” kazi zao ni nini?

Hivyo vyeo tu utajuwa ni watu wanaoshinda huko ikulu. Wanachofanya ni kitu gani?

vyeo vingine hadi watumbuliwe ndo mtu unashangaa kumbe vilikuwepo.
Hao ni maafisa wa Tiss, kama vile DSO, RSO, ZSO, DoI, n.k. Wapo ambao wanapandishwa vyeo kutokana na uteuzi wao lakini pia wapo ambao wanashushwa vyeo kutokana na teuzi hizo.
 
Ni kawaida,

Hata nyumbani, watoto wakileta ujuaji, unawatimua wakajitegemee.
LOoooh. Haya sasa ni maajabu. Unafananisha nyumbani kwako na shughuli za wananchi?
Hawa watu huwa wanafanya kazi saa ngapi iwapo kila mara wako 'on the move'?
Utategemea kupata ufanisi gani iwapo wafanyakazi wako viroho vipo juu juu kila mara wakihofia kutenguliwa au kuhamishwa?

Hapa kuna tatizo kubwa. Siyo "kawaida" hata kidogo kama unavyo dai wewe.
 
Afisa kutoka Ikulu,Afisa Toka Ofisi ya Rais,hao nadhani ni wale wafanyakazi ambao nafasi zao huwa hazifanyiwi replacement
 
Back
Top Bottom