Uteuzi June 22, 2024: Rais samia ameteua na kutengua viongozi mbalimbali

Uteuzi June 22, 2024: Rais samia ameteua na kutengua viongozi mbalimbali

Teuzi Za Rais Samia dhidi ya MAAFISA wa ikulu zina maana Gani?
Je ikulu yake yanuka au yanukia?je ya moto au ya baridi?

Je watumishi wa ikulu wote ni exceptional lazima wateuliwe nyadhifa mbalimbali hata kama wananuka?
Je yawezekana wananuka ila kwa kuwa wamekaa karibu na waridi ndo wanalipwa fadhira?

Nafanyaje nipate nafasi ya kuwa ikulu?

Je watumishi wa ikulu wote wanapatikanaje?je wakitolewa wote wanao kuja wanatoka wapi?
Je ikulu ITATANGAZWA nafasi za kazi?
Tulia mama asafishe
 
Mwandamizi (kutoka kitenzi kuandama) ni afisaambaye ana cheo cha juu katika ngazi fulani za utumishi, hasa wa serikali, au anayefuatia katika ngazi za uongozi na amayejiandaa kushika cheo hicho, k.mf. askofu mwandamizi.

Kiswahili ni kigumu aisee! Kuna vyeo vya walimu anaitwa mwalimu mwandamizi, kwa kiingereza wanaita senior teacher akitoka kwenye hicho cheo anaitwa principal teacher.
Ina maana hao walikuwa ni senior officers
 
Back
Top Bottom