Wasukuma ... Hata sisi jina la hilo kabila lina ukakasi wasu nini ... π€£Amemuteua mwana ngenya ? Kwetu SISI wasukuma ni matusi dah ila mwashambwa AKA mke wa bashite anagundu hatari Kila mkeka hayumo au yeye ni condom inafaida wakati wa matumizi ikishatumika haifai tena kuonekana machoni pa watu?
mabadiliko haya,Tuambiane, tujueView attachment 3023323
Nafikiri tatizo safari Ile ya Kwa kina Jumong......Kazi iendelee, safi kabisa, kama kuna kiongozi mwizi au mzembe au anachezea mali za umma ni kumtengua haraka sana, nimependa sana hii..!!
Mbona hawajatangaza maafisa wapya waandamizi wa wa ikulu ofisi ya Rais?Wapeni na wa huku jf hizo teuzi
Labda na hao waandamizi.Kwani wasimamizi wa uchaguzi mwakani ni akina nani
Labda jina lake ndiyo limesababisha atumbuliwe toka ikulu π€ππAmemuteua mwana ngenya ? Kwetu SISI wasukuma ni matusi
Inabidi waondolewe tu, ndio waliomteua mfu, Rais akaaibika.Transfer of officers from ikulu, to DED/DC??? That is my doubt!
Tangu lini wavuta bangi wakapewa teuziWapeni na wa huku jf hizo teuzi