kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
🤣🤣🤣🤣 nchi hii vituko maharage bado kuivaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kurushwarushwa kwa Maharage ndiyo kuiva kwake.Maharage anarushwa rushwa mpaka aive
Watu wanaofanya vetting wanaingiza siasa hadi kwenye kazi. Kwa kuwa Maharage ni kada wa CCM watakuwa walimpendelea kiQUMER kabla ya mama kushtukia mchezo mzima. Mijitu ya ovyo kweli!
Inaweka historia ya kuwa mtumishi aliyedumu kwenye nafasi Kwa siku 2Kuna shida mahala aisee,washauri washauri washauri......
Huyo siyo Maharage ya Mbeya, hawivi.Maharage anarushwa rushwa mpaka aive