Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu na bahati zao,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Amemteua Bw. Maharage Chande kuwa Postamasta, Shirika la Posta Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Bw. Chande aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Bw. Chande anachukua nafasi ya Bw. Macrice Daniel Mbodo ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Aidha, Mhandisi Peter Ulanga ataendelea kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).
Hili ni tatizo kubwa sana na litatugharimu taifa soon.Kumuondoa Ulanga TTCL lilikuwa ni kosa la kiufundi...
Sijui kwa nini Samia anaingizwa sana machaka na washauri wake...
If you know, you know. #DawatiLaSiasaHapo unamaanisha K Vant!?
Hahaha,Samia ana tatizo kwenye ubongo sio siri. HUYU Maharagwe hafai popote pale.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika leo Dubai, UAE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Amemteua Bw. Maharage Chande kuwa Postamasta, Shirika la Posta Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Bw. Chande aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Bw. Chande anachukua nafasi ya Bw. Macrice Daniel Mbodo ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Aidha, Mhandisi Peter Ulanga ataendelea kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).
Ni upuuzi tu nchi nzima. Kama manyani vile juu ya miti
Huyu mama anahangaika sana kama umeona mtu hafai SI umtoe mazima tu!!
Vetting zero hamna kitu hapa.
Kibaya zaidi mazee yaliochoka akili bado yanawekwa
Ni kuvurugana akili tu, wamemvuruga hadi mleta uzi kaja kuufungulia huku International ForumDuh mbona kamficha sana Chande
Bw. Ulanga nae naona nyota imeng'aa. Katoka Trade Mark Africa kaenda TPSF, hajakaa sana leo kawa balozi. Anaweza kuwa msemaji wa serikali ajaye. Kila la heri kwake.
Mbona yule Waziri Kindamba katoka hapo Ttcl kaenda kuwa Rc Tanga,nae uyo Kindamba ni mtaalamu wa It....Rais wetu katiba inamlinda muache afanye yakeTanesco was too big for him, ila nilifurahi kuteuliwa Kuwa MD TTCL jamaa ana Experience na issue za Telecom since alikuwa Vodacom hata Taaluma yake ni mbobezi wa Electronics and Telecom, Ila maisha haya Maharage ametoka Kwenye shirika Kubwa sana Tanesco, Yani shirika lenye assets nyingi kitaa kuliko shirika lolote lile la Umma hata kwa budget bado Tanesco is the leading
Nilishangaa pia, nadhani amepata feedback, Ulanga ni Experienced & Handson engineer, falsafa yake ya uongozi imejikita kwenye uhalisia sio nadharia tu, apewe muda. Kwa muda mfupi aliokuwepo TTCL na mabadiliko aliyoyaleta vinatosha kumtetea. Napenda approach yake ya kukomaa kuifanya TTCL kuongoza kwenye upande wa fixed data, dunia ndipo iliko.Kumuondoa Ulanga TTCL lilikuwa ni kosa la kiufundi...
Sijui kwa nini Samia anaingizwa sana machaka na washauri wake...
Hana lolote,anakumbatia vipenzi wake.Hopefully bado anamlia timing... 'best timing'.
-Kaveli-
Anafanya nini watu wanalia na fiber tu kila siku progress haionekaniNilishangaa pia, nadhani amepata feedback, Ulanga ni Experienced & Handson engineer, falsafa yake ya uongozi imejikita kwenye uhalisia sio nadharia tu, apewe muda. Kwa muda mfupi aliokuwepo TTCL na mabadiliko aliyoyaleta vinatosha kumtetea. Napenda approach yake ya kukomaa kuifanya TTCL kuongoza kwenye upande wa fixed data, dunia ndipo iliko.