Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pre GE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Safari ni hatua japo Kuna watu wanasema hii ni calculated move ya 👇👇
Screenshot_20240721-232536.jpg
 
Chanzo cha uhakika hicho, kidogo chura kazibuka masikio walau kasikia kwa mbali, kuna mtu alinipa ubuyu wa skendo za marope km wiki 2 zilizopita ila sikumzingatia sana sikumbuki hata alizungumzia nini
Watu wanajua aiseee.!! Tulibishana halafu km utani kawatoa hao hao, kuna uzi last week na mi nilicomment km masihara baada ya kupewa huo ubuyu 😹😹😹😹
Dah.!! Jamaa nilikuwa simtaki namjibu maombi yake ss hivi
 
Mh.January Makamba na Mh.Nape Nauye, hongereni sana kwa utumishi uliyotukuka sana Serikali kuu ....

mmefanya mambo makubwa mno kwenye wizara mlizozitumikia,
na sasa kwa wakati muafaka ubunifu, ushawishi, maarifa na uchapakazi wenu ni muhimu na unahitajika sana ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM tunapoelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa na baadae mwaka ujao Uchaguzi mkuu....

Asanti na Hongera sanaMh.Rais Dr Samia Suluhu Hassan kuimarisha chama na Serikali yako sikivu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
Wacha bwana!
 
Back
Top Bottom