Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Yule hawezi Toka bado. Ni home boy wake weeeeyeHivi wizara ya mambo ya ndani hajabadilishwa maana kwa huu utekaji unaowndelea na makanusho ya kitoto hatakiwi kuendelea hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule hawezi Toka bado. Ni home boy wake weeeeyeHivi wizara ya mambo ya ndani hajabadilishwa maana kwa huu utekaji unaowndelea na makanusho ya kitoto hatakiwi kuendelea hapo
Kiziwi kaombewa itakuaChanzo cha uhakika hicho, kidogo chura kazibuka masikio walau kasikia kwa mbali, kuna mtu alinipa ubuyu wa skendo za marope km wiki 2 zilizopita ila sikumzingatia sana sikumbuki hata alizungumzia nini
Ndo kuna mdau nae kanidokeza hilo, kwahiyo tuendelee kufariki mpk tuisheYule hawezi Toka bado. Ni home boy wake weeeeye
Safari ni hatua japo Kuna watu wanasema hii ni calculated move ya 👇👇Mbona hajamgusa Mwigulu Nchemba
Kwani 2025 atagombea yeye 😃Acha kukariri.
Nape alikuwa ameshajua kitakachomkutaBumunda OUT
January OUT
Bado Mwigulu Nchemba.
Ila hata hiki kikichofanyika tuna kila sababu ya kula nyama choma kesho.
Huyu Nape alizidi hadi kutoa Siri za chama hadharani.
Watu wanajua aiseee.!! Tulibishana halafu km utani kawatoa hao hao, kuna uzi last week na mi nilicomment km masihara baada ya kupewa huo ubuyu 😹😹😹😹Chanzo cha uhakika hicho, kidogo chura kazibuka masikio walau kasikia kwa mbali, kuna mtu alinipa ubuyu wa skendo za marope km wiki 2 zilizopita ila sikumzingatia sana sikumbuki hata alizungumzia nini
Nenda darasani kesho utaitwa jinaMbona sioni jina langu jamani
Wacha bwana!Mh.January Makamba na Mh.Nape Nauye, hongereni sana kwa utumishi uliyotukuka sana Serikali kuu ....
mmefanya mambo makubwa mno kwenye wizara mlizozitumikia,
na sasa kwa wakati muafaka ubunifu, ushawishi, maarifa na uchapakazi wenu ni muhimu na unahitajika sana ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM tunapoelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa na baadae mwaka ujao Uchaguzi mkuu....
Asanti na Hongera sanaMh.Rais Dr Samia Suluhu Hassan kuimarisha chama na Serikali yako sikivu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
Ni kweli. Hata mimi nilidhani kuwa huyu raraa reree ni kompyuta, ina-like kila uzi lkn haiandiki uzi wala ku-comment.Hatimqe raraa reree leo ameongea
Nape Hana shida ya pesa. Anamiliki kampuni tano za simu.juzi kwa mdomo wake alisema milioni 300 Ni hela kidogo Sana kwake.Sasa mtu unatenguliwa trh 21 kabla ya mshahara, kwahy hapo Bwana Nape atalipwa mshahara wa Waziri au mbunge 😂
Yan mara mia angetia mguu kwa hiki kirusiMbona hajamgusa Mwigulu Nchemba
Labda raisi wa kwenuJanuary makamba ndo rais ajae, mama yenu amestuka ameamua amtengue
😅😅😅mwambie namsalimiaWatu wanajua aiseee.!! Tulibishana halafu km utani kawatoa hao hao, kuna uzi last week na mi nilicomment km masihara baada ya kupewa huo ubuyu 😹😹😹😹
Dah.!! Jamaa nilikuwa simtaki namjibu maombi yake ss hivi