Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Wafumbe macho wasione..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naye acha aendelee na ropoka ropoka yake yatamkuta tu, sijawahi ona waziri wa fedha anaongea hovyohovyo nikama ilivyo asikali ulishakuta askali akiwa kwenye uniform anaongea hovyohovyo?Mama anamuogopa Mwigulu.
Ukiona hivyo tayari kavurunda hapo kapelekwa ili ajirekebishe, hivi kweli utolewe Dar upelekwe Kagera au Katavi halafu useme Dar ulikuwa unafanya vizuri ndio maana ukaperekwa mikoa hiyo.Jerry silaa asingetolewa huko wizara ya ardhi alikua anaenda kuharibu mambo siku siyo nyingi
Kaoge baharini mkuu maana haha hun mkeka umekupita.
Sasaivi ataanza kupiga mizinga ya bando.Nape Hana shida ya pesa. Anamiliki kampuni tano za simu.juzi kwa mdomo wake alisema milioni 300 Ni hela kidogo Sana kwake.
Asante kwa neno Pastor Luca.
Hatimaye miti mikubwa imeanguka.Pole sana ,mshaliwa kichwa 😂😂
Akitaka kuendelea kubaki aachane na ile timu ya mpira haitomwacha salama, haingii akilini gharama za kutunza ile timu unazitoa wapi? Kwa mshahara upi? Ni lazima utashawishika kuiba.Nape out, January out, hapo Mwigulu chupuchupu lazima aseme God saved my life from being sacked out, na Mwigulu asali sana kabaki..!!
Bila shaka yatakuwa ya kichwa na miguu sasa.Tunawakaribisha uraiani waje waendelee na harakati za kufunga goli la mkono uchaguzi ujayo,Maana haya mambo ndo wanayoyaweza.
Kwani ghorofa źa nairo haikusimama?Sasaivi ataanza kupiga mizinga ya bando.
Huyu ameamua kuwa pastor baada ya kumpita kwa kasi ya train mchongoko.Kaoge baharini mkuu maana haha hun mkeka umekupita.
Jambo baya na Gumu ni Watu wengi hatumjui Mwigulu nyema.. Mwigulu seems to have some powerful force behind him... Lakini hakunaga anayeweza kuisema ina relate na God father yupiAkitaka kuendelea kubaki aachane na ile timu ya mpira haitomwacha salama, haingii akilini gharama za kutunza ile timu unazitoa wapi? Kwa mshahara upi? Ni lazima utashawishika kuiba.
Tayari anatuona wajinga wewe fikiria eti madeni ya taifa hayawahusu wananchi na hakuna mtz hata mmoja atagongewa hodi mlangoni mwake kulipa hilo deni, hapo unata atadharau vp.Mwigulu angeondolewa kabisa maana ana kibaru na majivuno na ni kama anatuona watz ni wajinga
Eti Mwigulu kabaki aisee.Mwigulu angeondolewa kabisa maana ana kibaru na majivuno na ni kama anatuona watz ni wajinga
Hakuna kitu anakimbizana na viwanja badala ya kuweka mipango dhabiti ya wizara ili kuepukana na huo utapeli wa mara kwa mara, aliyweza hiyo wizara ni Lukuvi tuu na mpaka sasa tunatembelea hapo.Mkuu nimeumia sana Jerry kuamishwa ile kazi aliiweza mno .
Kwa maoni yangu anayesaidia mambo yaende sawia ni NCHIMBINaona hatua alizo chukuwa rais Ruto nchini Kenya kuvunja baraza la mawaziri na kuunda umpya nahisi labda kwa sehemu zimempa mama confidence kusimama yeye kama yeye kama rais wa nchi na sio kucheka na kima yeyote badala yake Fanya kile wananchi wanataka failure to that you are unfit to be a President because you' are not leading but there are people who are leading you.Na kama samia ameweza Fanya kwa hawa watu serikali yake itaheshimika maana kama ameweza Fanya hivi kwa mtu mbichi habari gani kwa mtu mkavu ,ingawa kuna watu wawili flani ambao amewaacha watu wanawapigia kilele a President should just drop them out why leaving them?
Wangapi wamepata haki zao? Hata angekaa miaka 20 usingesikia kafika Katavi au Songea unadhani huko hakuna migogoro ya ardhi? alichokuwa anafanya sio kazi zake, hiyo haina tifauti sana na Rais kila mara kuwalipia wagonjwa bill za matibabu,unadhani hiyo ni huruma ya kweli?Kweli kabisa...watu wengi wamepata haki zao chini ya Jerry.
Jamaa Anajuaa kubuni njia za Kuwaibia wananchi hawezi tolewaa aiseee.. Hizi kodi za Lukuuu sijui mara kwenye mafutaaa daily anabuni mpyaa na viwango vinapanda pia Kutembeza bakuli ni mtaalamu haswaaEti Mwigulu kabaki aisee.